Ushindi wa Kenyatta utaidhoofisha zaidi EAC

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
My thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has it Magu alimsupport Raila. If true, lazima Kenyatta atakuwa na kinyongo kwa JPM.
Anywhos.....CHADEMA tumieni urafiki wenu na Uhuru vizuri unaweza kuwasadia 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru si mtu was grudge unlike magufuli wakucatch mafeelinga kama cocacola aka dem ana nyesha

sent from iPhone 7
 
Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.

Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.

Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
 
Kwani tallying station watu si wanahesabu kura zao, wewe ukigombana kwa hilo basi nia yako ni "kukwiba" kura!
 
My thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has it Magu alimsupport Raila. If true, lazima Kenyatta atakuwa na kinyongo kwa JPM.
Anywhos.....CHADEMA tumieni urafiki wenu na Uhuru vizuri unaweza kuwasadia 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila.jpm_.orange.jpg
 
Mivutano iwe au isiwemo, maamuzi ya wakenya yaheshimiwe.

Wakenya wameamua iwe hivyo...
 
Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.

Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.

Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.

Viva Uhuru.Yupo huru kama jina lake.
 
Hakuna ugomvi Tanzania na Kenya ni watani wa jadi kama vile Simba na Yanga, hata tukilana hatujitafuni tukaisha tunategemeana sana kila mmoja kwa mwenzake..."zimwi likujualo halikuli likakuisha" viva Tz&Keii viva EAC.Obligado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwake Uhuru Kenyatta, piga kazi kwa manufaa ya waKenya waliokuamini na kukuchagua- achana na uyo uchwara
 
Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.

Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.

Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
hembu tupe update za protest zinazoendelea huko aseee
 
Wakenya bila jina la Magufuli hamlali. Duh
 
Kila nchi inaongozwa na maslai yake, hata kama Odinga angekuwa rais wa Kenya, kuna vitu tingekubaliana na kuna vitu tungekataa
 
Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.

Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.

Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Nimeona wapinzani wa Bongo wanamuita "Baba wa demokrasia Afrika Mashariki"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nwashangaa wabongo hamna uzalendo, yaan badala muangalie Tz yenu nyie mnaanza kuleta makundi ya Kenya Tz, huo n uchaguzi wao wanatakiwa kuchagua wanaemtaka so kama VP nyie mnaoishabikia Kenya mwende mkaishi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kentatta anaangalia maslahi kwa upande wa Taifa lake na suala la EA ni ziada tu ..
 
Back
Top Bottom