Ushindi wa Mayweather utata

Majaji ndy wenye maamuzi ya mwisho,
 
Ndio uzuri wa jamii forum.kuna kila aina ya proffesional.boxer,football,wezi,wahuni,waongo,ccm,cuf,CDM,ukawa,wabishi wavivu,act,waimbaji,wa pumba na point humu humu.hapo juu hakuna hata kocha mmoja wa ngumi lakini comment za kufa mtu.shikamoo JF.i like jamii forum.akisaini mswaada wa sheria MITANDAO sijui itakuaje.Yangu macho
 

Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..

Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.

Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.

Tmp
 
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..

Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.

Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.

Tmp

Asante We Ndo Umenena
 

Ndugu yangu kuwa muangalifu. Wenyewe hawalipendi kabisa neno NEGRO. Usije ukatamka sehemu ambazo kuna wamarekani weusi.
 
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu mtujuze

Kazi nzuri kafanya PAC

Makonde mengi kapokea MAY

jukwaa katawala PAC

Kukibizwa kakimbizwa MAY

good boxing kacheza PAC

Ushindi kapewa MAY

japo aliyestahili ni PAC

Kiiungwana kabisa,bila ushabiki,ubaguzi.MAN PAC kakandamizwa ili kwa ajiri ya kulazimisha heshima kwa marekani
 
Hapo n kamari tupu imechezwa hakuna lolote hakuna cha mbinu wala ujanja wowote mshindi alitakiwa kuwa Manny pacquio lakn kwa vile wenye Pesa zao wamecheza kamari bas majaja wakampa mywether tofaut na hapo jaji wasingetoka wakiwa hai

Big UP
 
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..

Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.

Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.

Tmp

Asante We Ndo Umenena
 
Hivi wakuu sijui mnabishana nini hapa. Pambano limefanyika Las Vegas, Nevada. Majaji wote ni wa US (wawili wa Nevada, mmoja wa Connecticut), myweather na familia yake ni Lords of the Ring wa US tangu baba mtu akiwa bondia. Promoters wote waliosimamia pambano ni wa US, leo hii kirahisi rahisi tu wamarekani hawa waachie mkanda wa dunia uende ufilipino? Hii ni business kama business nyingine, zengwe lake huanza mbali.
 
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..

Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.

Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.

Tmp

Angaliaa super sport 6 hilo pambanoo wanalirudiarudiaaaa mpkaaa Kero...
Ndoutaelewaaaa kashindaa je....
 
Ndio uzuri wa jamii forum.kuna kila aina ya proffesional.boxer,football,wezi,wahuni,waongo,ccm,cuf,CDM,ukawa,wabishi wavivu,act,waimbaji,wa pumba na point humu humu.hapo juu hakuna hata kocha mmoja wa ngumi lakini comment za kufa mtu.shikamoo JF.i like jamii forum.akisaini mswaada wa sheria MITANDAO sijui itakuaje.Yangu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…