mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Mayweather anacheza kama Chelsea kwa Kujidefend wkt manpac anacheza kama arsenal kwa buruudani kabsaa
WEwe ndio uko sahii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayweather anacheza kama Chelsea kwa Kujidefend wkt manpac anacheza kama arsenal kwa buruudani kabsaa
Huyo unayemuita negro kapendelewa sana leo na hana ngumi zozote anazojua zaidi ya kukumbatiana na kukimbia kimbia ulingoni
Mywather the most boring boxer ever.....
Tumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"
Mywather the most boring boxer ever.....
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..
Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.
Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.
Tmp
Mayweathet si lolote si chochote
Tumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu mtujuze
Hapo n kamari tupu imechezwa hakuna lolote hakuna cha mbinu wala ujanja wowote mshindi alitakiwa kuwa Manny pacquio lakn kwa vile wenye Pesa zao wamecheza kamari bas majaja wakampa mywether tofaut na hapo jaji wasingetoka wakiwa hai
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..
Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.
Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.
Tmp
Mkuu lakini unajua point zinapatikana vipi kwenye nchezo wa ngumi?
Sijaelewa kashindaje shindaje!
Kapelekeshwa sana...
Kapewa makonde sana..
Ila naona kama mshindi alishaandaliwa.
Maana mcheza kwao katuzwa na katuzwa.
Tmp