YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima