Ushindi wa Raila una sura ya kitaifa kuliko wa Kenyatta

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima
 
Atabaki kuwa Rais wa mioyo ya wakenya.
Ukiangalia hata maeneo yenye wamasai wengi sana ambapo lowasa ndio laigwani wao kama Ya Nairobi na Kajiado Raila odinga kapata kura nyingi mno kuonyesha wazi kuwa wamasai wengi pia wanamkubali sana
 
Nashindwa ku copy na kupaste kasimu kangu ka nokia tochi nenda website ya tume ya uchaguzi ya Kenya kaangalie matokeo ya kila county
Sreen shoots je?

Lazima utetee andiko lako bana
 
Kwa hiyo ushindi uliotangazwa ni wa Raila...?
Hajatangazwa mshindi lakini ukifanya analysis ya kura kitaifa Raila anakubalika sehemu nyingi Kenya kuliko Kenyatta.
 
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima

Hii ndio shida ya kuingilia usiyoyafahamu. Na kama hujui uliza.

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Governors) - 30
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Governors) - 17

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Senators) - 26
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Senators) - 21

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (MPs) - 173
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (MPs) - 114

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Women Rep) - 31
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Women Rep) - 16

Uhuru Kenyatta - Counties with 25% - 35
Raila Odinga - Counties with 25% - 29

Uhuru/Ruto/Jubilee literally painted the country red.

uk1.jpg

uk2.jpg
uk3.jpg
uk4.jpg
uk5.jpg
 
View attachment 563983
View attachment 563984 View attachment 563985 View attachment 563986 View attachment 563987
Shukrani mkuu.mimi naongelea kura Za uraisi
 
Ushindi wa Kenyata umewauma sana Ccm hasa yule Ngosha.
Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nk
 
Najua unaumia sana na sio wewe tu, mko wengi sana. Wakenya hawan shida, watashirikiana kuendeleza taifa lao.
 
Itakuwa vizuri it is Just a caution. My advice kama wakiunda serikali ya umoja wa kitaifa it will be better. Kenyatta aliangalie hilo
 
Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nk

Utaendelea kuumia sana lakini Raila hakuwa na Ubavu wa kupambana na mwanademokrasia Kenyatta.Kenyatta kaipaisha sana Kenya Kidemokrasia na kwa kweli kila mpenda Demokrasia alikuwa anamwombea ashinde.
 
Shukrani mkuu.mimi naongelea kura Za uraisi

Kwani hio nimekupa ni ya nini?
Nikupa ya urais, na nikakuongezea ya magavana na masenator.

Map ya kwanza inakufahamisha kwamba Uhuru aliongoza katika county 26, ilhali Raila aliongoza katika county 21.

Pia, Uhuru alipata 25% of all votes katika county 35, ilhali Raila alipata 25% of all votes katika county 29 pekee.

In short, Uhuru alipata kura mingi kutoka kwa maeneo mengi na mbali mbali kuliko Raila.
Angalia hizo map venye Uhuru na chama chake walivyo paint nchi red.
 
Back
Top Bottom