Ukiangalia hata maeneo yenye wamasai wengi sana ambapo lowasa ndio laigwani wao kama Ya Nairobi na Kajiado Raila odinga kapata kura nyingi mno kuonyesha wazi kuwa wamasai wengi pia wanamkubali sanaAtabaki kuwa Rais wa mioyo ya wakenya.
Sreen shoots je?Nashindwa ku copy na kupaste kasimu kangu ka nokia tochi nenda website ya tume ya uchaguzi ya Kenya kaangalie matokeo ya kila county
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima
Shukrani mkuu.mimi naongelea kura Za uraisiHii ndio shida ya kuingilia usiyoyafahamu. Na kama hujui uliza.
Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Governors) - 30
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Governors) - 17
Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Senators) - 26
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Senators) - 21
Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (MPs) - 173
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (MPs) - 114
Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Women Rep) - 31
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Women Rep) - 16
Uhuru Kenyatta - Counties with 25% - 35
Raila Odinga - Counties with 25% - 29
Uhuru/Ruto/Jubilee literally painted the country red.
View attachment 563983
View attachment 563984 View attachment 563985 View attachment 563986 View attachment 563987
Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nkUshindi wa Kenyata umewauma sana Ccm hasa yule Ngosha.
Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nk
Itakuwa vizuri it is Just a caution. My advice kama wakiunda serikali ya umoja wa kitaifa it will be better. Kenyatta aliangalie hiloNajua unaumia sana na sio wewe tu, mko wengi sana. Wakenya hawan shida, watashirikiana kuendeleza taifa lao.
Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nk
Shukrani mkuu.mimi naongelea kura Za uraisi