Kenya 2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

Kenya 2022 General Election

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi.

Ugandans are Kenyans are brothers.

Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language.

Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names.

The same way the Luos where Raila comes from are relatives with the Japadholas of Uganda.

They speak the same language and use the same language.

These people were just divided by the colonialists but they are brothers,so the way some Ugandans are celebrating because of Ruto's victory is the same way some Ugandans would have celebrated because of Raila's
 
Ni siasa tu!! Museveni aliside ba Odinga!! Waganda wengi hawampendi Museveni!!

Kwa hiyo wamefurahia chaguo lake limeshindwa!! Wakiona hivyo wanahisi ni Museveni ameshindwa!! Kwa hiyo wnapata raha ya ajabu kama wao ndo wameshinda kwa sababu ya kumchukia Museveni!!
 
Mseven alikuwa na Rutto,,tangu zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…