Kwasababu sababu za kuhairishwa mechi hazikuwa mashikoKwanini Yanga wanaogopa kucheza mechi itakayopangwa?kama wana kikosi bora kwa nini wanagoma? Uzuri bodi hawatoi point 3 za dezo, watacheza tu
Mbna alikimbia derbyfadlu jana kawasema sna wachezaji,unawafungaje dodoma jiji goli 6.hzo zilikuwa zina wenyewe
Zikiwa za mashiko au sio wachezaji wanapoteza ubora wao?Wale mabaunsa mlipeleka wa kazi gani kama si kulinda matunguli mliofukia yanayowapa jeuri ya kushinda?Kwasababu sababu za kuhairishwa mechi hazikuwa mashiko
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
waulizwe makomandoo wenu waliowazuia simba wasicheze mazoezi
Hao mbuzi na hivyo vizee ndiyo kamati ya ufundi?Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla
Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]
NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini View attachment 3270853
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mabaunsa walikuwa wastaarabu ...waliwaambia wachezaji wanaruhusiwa kuingia ......but wazee na mbuzi ....stopZikiwa za mashiko au sio wachezaji wanapoteza ubora wao?Wale mabaunsa mlipeleka wa kazi gani kama si kulinda matunguli mliofukia yanayowapa jeuri ya kushinda?
Labda confederation cupYanga hatutacheza mechi tofauti na ile ya tar 8 march huo ndo msimamo wetu hatuna muda wa kucheza na Simba tena
Ndo mkimbie mechiiwaulizwe makomandoo wenu waliowazuia simba wasicheze mazoezi
Yawezekana mkuu [emoji23]Hao mbuzi na hivyo vizee ndiyo kamati ya ufundi?
Afrika bado tuna safari ndefu sana.
Ushindi wao wala hauwapi confidence bali hivyo vibabu vichawi na hao mbuzi 'weupe' ndiyo vinavyowapa confidence.
AiseeeUchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla
Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]
NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini View attachment 3270853
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa kanuni gani mabaunsa wa Yanga walienda uwanjani? hiyo ndiyo sababu yenye mashiko ya Simba kuandika barua moja tu na Utopolo kuandika barua zaidi ya 10 za kutapatapa kulilia points 3 za dezo ambazo wanajua hawatozipata.Mabaunsa walikuwa wastaarabu ...waliwaambia wachezaji wanaruhusiwa kuingia ......but wazee na mbuzi ....stop
Makolo wakagoma kuacha mbuzi na wazee nje
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kukumbushe ya Derby ya Cairo wale wahana kona kona,aliyekimbia mechi naye kakimbizwa.Kwanini Yanga wanaogopa kucheza mechi itakayopangwa?kama wana kikosi bora kwa nini wanagoma? Uzuri bodi hawatoi point 3 za dezo, watacheza tu
Sasa kasimba kamoja na wanachi koo?Wewe huogopi?
Yanga kuandika barua nyingi sababu Ina management kubwa yenye decisive leadersKwa kanuni gani mabaunsa wa Yanga walienda uwanjani? hiyo ndiyo sababu yenye mashiko ya Simba kuandika barua moja tu na Utopolo kuandika barua zaidi ya 10 za kutapatapa kulilia points 3 za dezo ambazo wanajua hawatozipata.
Hiyo management ndio inashindwa kila siku kesi kule CAS,hata kichaa kama Morrison anaiburuza hiyo management kama anavyotakaYanga kuandika barua nyingi sababu Ina management kubwa yenye decisive leaders
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wale madai yao hayako kikanuni,labda hujui chanzo cha kugomea mechiNi kukumbushe ya Derby ya Cairo wale wahana kona kona,aliyekimbia mechi naye kakimbizwa.
Sema tu hamuijui system .....Ile kesi Yanga alishinda ....but akaamua afunike kombe ....coz Simba wangepokonywa points zote ... Morrison alizochezaHiyo management ndio inashindwa kila siku kesi kule CAS,hata kichaa kama Morrison anaiburuza hiyo management kama anavyotaka
Kwamba chura na koo zake ni wa kuogopwa?Sasa kasimba kamoja na wanachi koo?Wewe huogopi?