MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Naleta taarifa zaidi... Fuatilia CItizen TV
Mahakama ya Juu imesema ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta ni halali
Majaji sita wote walitupilia mbali mapingamizi yaliyopinga ushindi wake kwenye uchaguzi wa marudio
Mapingamizi hayo yalifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Kilome Harun Mwau na wanaharakati wawili jonjo Mue and Khalif Khalifa
Mapingamizi hayo yalisikilizwa kwa pamoja lakini wapingamizi waliruhusiwa kuwasilisha hoja zao binafsi
Kati ya hoja walizotoa kwenye mapingamizi hayo ni tume kushindwa kuwapitisha wagombea wa urais upya, kujitoa kwa Raila Odinga na wapiga kura kwenye majimbo 25 kushindwa kushiriki kwenye uchaguzi huo
Rais Kenyatta sasa anatarajiwa kuapishwa Jumanne wiki ijayo.
Jaji Mkuu David Maraga amesema majaji kwa kauli moja wameamua kwamba kesi zote mbili hazina msingi.
Wananchi walivyoitikia
===========================================
President Uhuru Kenyatta’s win in the October 26 repeat presidential election has been upheld.
In a unanimous decision, the six-judge bench of the Supreme Court dismissed the petitions challenging the election of President Uhuru Kenyatta in the repeat poll.
Two petitions — one by former Kilome Member of Parliament Harun Mwau and the other by activists Njonjo Mue and Khalif Khalifa — were filed seeking the nullification of President Uhuru Kenyatta’s victory for the second time in three months.
The two petitions were consolidated and heard together, but each party was allowed to submit issues raised in their petitions separately.
Among the issues the petitioners cited as grounds for annulment of the October 26 election was failure by the electoral commission to conduct fresh nominations, withdrawal by National Super Alliance (NASA) flag bearer Raila Odinga and failure by voters in 25 constituencies to take part in the election.