Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

Hilo lilitegemewa ni ngumu sana kufuta uchaguzi mara mbili ingekuwa movie sasa
 
"Raila will never be a Kenyan President".... By Anonymous
 
Hii wiki mbaya sana kwa Lumumba, pigo jingine kwa wana Lumumba wakati rafiki yao Mugabe akisubiri kuning'inizwa kichwa rafiki yao mwingine Raila kaangukia pua.
Haa haa haq
 
Uhuru alishapiga mkwara baada ya kufuta matokeo ya awali. Jaji hajitaki.
 
Nice to have an intelligent and democratic president in our neighbouring country otherwise the whole EA could have follen in a gang of .... leaders
 
Hii wiki mbaya sana kwa Lumumba, pigo jingine kwa wana Lumumba wakati rafiki yao Mugabe akisubiri kuning'inizwa kichwa rafiki yao mwingine Raila kaangukia pua.
Kwa hiyo wapinzani wa Kenya wanavyouwawa kwa risasi wapinzani wa Tanzania wanashangilia.... itachukua miaka mingi upinzani wa Tanzania kujitambua.!
 
Japo natumai umesoma kwamba ilikua maamuzi ya majaji wote kwa mpigo....'unanimous decision' hivyo sio Maraga tu.

basi pia nao majaji wamekula matapishi yao. maana matokeo ya uchaguzi wa mwanzo ni wenyewe walipinga. kwa kasoro karibu zile zile wanakubali matokeo ya uchaguzi.
 
Wadau
Mahakama kuu nchini Kenya imemuidhinisha Rasmi Uhuru Kenyatta kuwa Rais kwa kipindi cha muhula wa 2.Hatua hii imefuatia uamuzi wa Mahaksms hiyo kutupilia mbali kesi zilizofunguliwa kupinga ushindi alioupata katika uchaguzi mkuu wa marudio.Kufuatia maamuzi hayo Rais Uhuru Kenyatta ataapishwa rasmi katika muda wa siku 7 kuanzia tarehe ya leo 20/12/2017 ( jumanne)
Karibuni.
 
basi pia nao majaji wamekula matapishi yao. maana matokeo ya uchaguzi wa mwanzo ni wenyewe walipinga. kwa kasoro karibu zile zile wanakubali matokeo ya uchaguzi.

Kasoro zipi, mbona usijadili mambo kitaalam, sote tumefuatilia majibizano ya wanasheria.
Weka hizo kasoro unazozijua tuzijadili moja baada ya nyingine na kwa jinsi mahamaka imefikia maamuzi yake.
 
Kwa hiyo wapinzani wa Kenya wanavyouwawa kwa risasi wapinzani wa Tanzania wanashangilia.... itachukua miaka mingi upinzani wa Tanzania kujitambua.!
Wapinzani wa Kenya ni marafiki wa serikali ya Tanzania.

Jino kwa jino.
 
Back
Top Bottom