Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

Wakenya wakitoa maoni yao baada ya mahakama kutupilia mbali kesi zilizofunguliwa kupinga ushindi wa Rais Kenyatta.
 
Clearly haumjui Raila.
His next speech will be an incitement. Kwa hivo ngoja vifo viendelee.
Uhuru alikuwa anam pet pet alikuwa anasubiri uhakika wa ofisi sasa mwambie stoe pua yake aone moto wake.
 
Japo natumai umesoma kwamba ilikua maamuzi ya majaji wote kwa mpigo....'unanimous decision' hivyo sio Maraga tu.
Hata initial nullification ilikuwa ni maamuzi ya judges wote
 
huyu raila ananiudhi sana mfyuu anachanganya wakenya tu ni msumbufu sana sasa alijitoa kwanini?
 
Kwa hiyo wapinzani wa Kenya wanavyouwawa kwa risasi wapinzani wa Tanzania wanashangilia.... itachukua miaka mingi upinzani wa Tanzania kujitambua.!
Sio nyie hao hao mnaosema upinzani sio kupinga kila kitu.
 
Kwa hiyo wapinzani wa Kenya wanavyouwawa kwa risasi wapinzani wa Tanzania wanashangilia.... itachukua miaka mingi upinzani wa Tanzania kujitambua.!

Wakina Lissu wanavyomiminiwa risasi kama tembo wapinzani wa Kenya wanashangilia sana.
 
Back
Top Bottom