Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

The supreme court of Kenya has upheld uhuru's victory on the 26th Oct 2017 elections.
Source: CITIZEN TV live from Kilimani
 
Japo natumai umesoma kwamba ilikua maamuzi ya majaji wote kwa mpigo....'unanimous decision' hivyo sio Maraga tu.
Haya sasa majirani zetu ndo mtulie,Rais huyo mshampata fanyeni kazi in magu,s voice.
 
Yeye Rails alidhani siku zote hiyo mahakama ya juu itakuwa upande wake??

Hayo ndiyo maamuzi ya mwisho kabisa, asubiri kubahatisha Bahati yake tena miaka 4 ijayo!
 
Anyway, Ni vizuri sasa mtulie . we've been tired of you though.
 
Hii wiki mbaya sana kwa Lumumba, pigo jingine kwa wana Lumumba wakati rafiki yao Mugabe akisubiri kuning'inizwa kichwa rafiki yao mwingine Raila kaangukia pua.
 
sasa naye Raila aachane na ile inayoitwa peoples assembly. sijui kama ipo kwa kujibu wa katiba.
 
Hongera Rais mteule nguli Wa demokrasia Afrika Mashariki. Kila lA kheri
 
Leo mahakama kuu ya Kenya imetupilia mbali mashauri mawili yaliyofunguliwa kupinga ushindi wa rais Kenyata katika uchaguzi wa marudio.
Kwa mahakama kutupilia mbali mashauri hayo sasa kunatoa njia kwa rais Kenyata kuapishwa rasmi kuendelea kuwa rais wa Kenya kwa awamu yake ya pili na anatarajiwa kuapishwa wiki ijayo.
Twawaombea wakenya waupate utulivu na amani wasonge mbele.
 
Back
Top Bottom