Hakuna ubishi kwamba mzungu anakwepa kodi ila uwekezaji wa mzungu huwa una manufaa moja kwa moja kwenye uchumi sababu anawekeza pesa nyingi,kodi analipa kubwa na wafanyakazi wanakuwa na maslahi mazuri. Kuna nchi kibao walizowekeza wazungu kama Hongkong, Singapore, Botswana na hata Nigeria wanaona matunda yake. Kwa Tanzania hapa wachina wana kesi nyingi za kukwepa kodi na kwa hili hawaonewi sababu hata viwanda vyao wamevificha. Kwa wazungu ukitoa wafaransa wengine wako poa.
Mkiwa na mipango mizuri jumlisha uwekezaji wa mzungu mnatoboa mbona ila sio hawa wachina ambao wanawekeza kwenye yeboyebo na kufanya kazi za machinga au kuwa vinyozi.
Kingine wachina ni watu wasio na maadili. wanakula chochote , wanakohoa popote na wanatema mate popote kifupi siwapendi kwa mengi.