wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tax avoidance vs Tax evasion.Nkumbushe kwamba former US President one Donald Trump wanataka kumburuza mahakamani kutokana na kukwepa kulipa kodi stahiki - kumbuka Trump ni Milkionea na mfanya biashara mashuhuri nchini Merikani lakini anakwepa kulipa kodi stahiki, msifikiri Wazungu ni malahika.
Naweza kusema huwajui wachina na hujawahi kufanya nao kazi ,Kwani hawalipi kodi?kwani wamempokonya mtu hela? Kwani hawaajiri waZambia?kwani wananyanyasa raia wa Zambia?
Afrika hatutakuja kuendelea
Nawajua vizuri, na nina rafiki wa jinsia ke alishawahi kudhalilishwa ..hilo ni suala lingine ...Naweza kusema huwajui wachina na hujawahi kufanya nao kazi ,
Wanaajiri na wanalipa kodi, ila ni moja ya watu washenzi wasio na utu, dhulmat na vyote visivyokubalika.
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.
Africa tuna kazi sana kwa kweli