Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari!
Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana.

Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa?

Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi.

Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana hadi saiv page ya mbele ya jamii sport imejaa thread za lawama tu kama mke mkubwa aliepatiwa Nyumba ndogo.

Mods nisaidien kuzitag hapa Chini kama ushahidi.

Next stop October 19.

Goodmorning 🇵🇹
 
yanga ajabebwa jana, apart from yellow cards za sure boy. which ali balance na card za pamba.

the referee was very fair.
 
Makolo wanalalamika kwanini tumefunga goli nne!


Wao wanataka tushinde lakini tusifunge goli nyingi.
 
Wenye akili ni wawili pale utopolo
FB_IMG_1722620645300_1.jpg
 
Back
Top Bottom