melick odas
Member
- Jul 1, 2015
- 43
- 50
nani kamwalika? washiriki ni akina nani? Nani anawaalika?Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa uchaguzi wa uenyekiti, Mbowe ameonekana kuwa na ushiriki mdogo hadharani, hali inayoweza kuashiria tofauti za kiitikadi au mgogoro wa ndani.
Hali hiyo inaweza kuathiri uwezo wa Chadema kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, hasa ikiwa mgawanyiko kati ya wafuasi wa Mbowe na Lissu utaendelea. Mbowe anaweza kuwa anajenga taswira ya maridhiano ya kitaifa, lakini hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa wafuasi wa Chadema inabaki kubwa ikiwa hautashughulikia masuala ya umoja wa chama.
Hakuna taarifa za moja kwa moja zinazothibitisha iwapo Freeman Mbowe aliarikwa rasmi, but Hali ya kuamua kuonekana katika tukio hilo tu ndio linaleta wasisi.nani kamwalika? washiriki ni akina nani? Nani anawaalika?
Kwanini leo tu, na kuna mengi nyuma hapo ya kushiriki hata ya kwenye chama chake mkuu..Ni ushiriki tu, acha kupiga ramli
kumbuka mbowe pia ni mfanyabiasharaUshiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa uchaguzi wa uenyekiti, Mbowe ameonekana kuwa na ushiriki mdogo hadharani, hali inayoweza kuashiria tofauti za kiitikadi au mgogoro wa ndani.
Hali hiyo inaweza kuathiri uwezo wa Chadema kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, hasa ikiwa mgawanyiko kati ya wafuasi wa Mbowe na Lissu utaendelea. Mbowe anaweza kuwa anajenga taswira ya maridhiano ya kitaifa, lakini hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa wafuasi wa Chadema inabaki kubwa ikiwa hautashughulikia masuala ya umoja wa chama.
Sipingi mkuu, huenda ameona fursakumbuka mbowe pia ni mfanyabiashara
M/kiti katika uwakirishi..Amehudhuria kama mwenyekiti wa CHAUMMA
Kabisaa, tulipe muda tuSishangai huyu akawa ndiye shahidi wa siri
mkuu nilitaka kusema jambo hili jana -- ila nilikuwa katika tafakari ya kiutani utani tu.Sishangai huyu akawa ndiye shahidi wa siri
Mzaha mzaha akaja kuzamisha boti 😁mkuu nilitaka kusema jambo hili jana -- ila nilikuwa katika tafakari ya kiutani utani tu.
ila kuona comment yako hii mtazamo kama unataka kukubali hivi 🤣
inawezekana mkuu mambo ya maslahi haya mabaya sanaMzaha mzaha akaja kuzamisha boti 😁
Nasikia kwa sasa anakunywa SMART GIN!!Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa uchaguzi wa uenyekiti, Mbowe ameonekana kuwa na ushiriki mdogo hadharani, hali inayoweza kuashiria tofauti za kiitikadi au mgogoro wa ndani.
Hali hiyo inaweza kuathiri uwezo wa Chadema kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, hasa ikiwa mgawanyiko kati ya wafuasi wa Mbowe na Lissu utaendelea. Mbowe anaweza kuwa anajenga taswira ya maridhiano ya kitaifa, lakini hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa wafuasi wa Chadema inabaki kubwa ikiwa hautashughulikia masuala ya umoja wa chama.
Tulipe muda tuinawezekana mkuu mambo ya maslahi haya mabaya sana
Ngoja atengeneze pesa; zitasaidia kufadhiri chama.Kwanini leo tu, na kuna mengi nyuma hapo ya kushiriki hata ya kwenye chama chake mkuu..
Vitu anapenda Mzee wetu😁Nasikia kwa sasa anakunywa SMART GIN!!