Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

Kila mtu anapambania ugali wake, tunatofautiana mbinu tu. Kauli hii usipoikubali leo, utaikubali miaka 20 ijayo.
 
Nilipiga sanackeleke hapa kuwaonya chadema kuhusu ben saa8 niliwaambia kuwa kifo cha ben ni mkono wa mbowe na ccm waliokuwa wanamchukia JPM watu wapumbavu wa chadema wakanitukana sana na kuoigwa ban jf ...niliwaambia kuwa Mbowe baada ya Jpm kufa hataki kabisa kusikia jina ben saa8tena ukilitaja mbele yake anaweza kukupiga hata makofi ...chadema wakanitukana sana na kuniita sukuma gang ....
Ipo siku ukweli utajulikana tu
 
tulisema tangu awali kuwa adui namba moja wa nchi hii ukiondoa mafisadi na ccm, ni dj mbowe, alikuwa anatuzunguka na kusaliti vijana ambao wanapigwa virungu yeye anakula sahani moja na mafarisayo. hii ni evidence ya wazi ameamua sasa kutoa kwenye cartain.
 
Kabisaa anaanza kutoa makucha taratibu
 
Back
Top Bottom