Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

Anawasiliana na serikari adi kupokea mwaliko wakati chama lake wametengwa na picha nyingine ni kuonyesha haiunhi mkono chadema ya sasa
 
KILA MTU apambane na HALI yake. ILA kichekesho kutoka anapoishi KWENDA mahakaman kwa lisu nauli mia nne kakausha ILA KWENDA Dom chap TU duuh
 
Mda si mrefu utasikia ".......sasa kumecha.....sasa kumecha......yule pale yule pale tumemwona ...." Siasa sometimes ukichukulia serious itakuchanganya.
 
KILA MTU apambane na HALI yake. ILA kichekesho kutoka anapoishi KWENDA mahakaman kwa lisu nauli mia nne kakausha ILA KWENDA Dom chap TU duuh
Mzee wetu reputation aliyoijenga muda mrefu, inakuja kufia uzeeni so sad.
 
MBOWE : SHAHIDI WA SIRI WA UPANDE WA SERIKALI YA CCM YA SAMIA.
 
Bora Hali iliyopo ndani ya chadema kwa sasa ,yenye mapito,kuliko Mbowe angekuwa mwenyekiti wa chadema, kwa mara nyingine tena.Amini nawambia upinzani ndio ungekufa kabisa Tanzania 🤔
 
Unajua kila unachokifanya kinaakisi matendo yako,na binadamu ni mashahidi,
Kufungwa kwa Tundu Lissu kunaakisi matendo yake na Mbowe kuwa kalibu na watawala wanaomtesa Tundu Lissu kunaakisi matendo yake, na sisi binadamu tunabaki kuwa mashahidi
 
Bora Hali iliyopo ndani ya chadema kwa sasa ,yenye mapito,kuliko Mbowe angekuwa mwenyekiti wa chadema, kwa mara nyingine tena.Amini nawambia upinzani ndio ungekufa kabisa Tanzania 🤔
Umenena vyema!
 
MAKENGEZA NI TAPELI WA KISIASA TANGU ZAMANI,NI VILE TU WAFIA CHAMA WALIKUWA HAWAELEWI TUKISEMA HAYA HADHARANI !


MPANGO ULIOPO NI KUIFUTA CHADEMA

MUDA UTAONGEA !
 
Sishangai huyu akawa ndiye shahidi wa siri
Nilipiga sana kelele hapa kuwaonya chadema kuhusu ben saa8 niliwaambia kuwa kifo cha ben ni mkono wa mbowe na ccm waliokuwa wanamchukia JPM watu wapumbavu wa chadema wakanitukana sana na kupigwa ban jf ...niliwaambia kuwa Mbowe baada ya Jpm kufa hataki kabisa kusikia jina ben saa8 tena ukilitaja mbele yake anaweza kukupiga hata makofi ...chadema wakanitukana sana na kuniita sukuma gang ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…