Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

Kila mtu anapambania ugali wake, tunatofautiana mbinu tu. Kauli hii usipoikubali leo, utaikubali miaka 20 ijayo.
 
Ipo siku ukweli utajulikana tu
 
tulisema tangu awali kuwa adui namba moja wa nchi hii ukiondoa mafisadi na ccm, ni dj mbowe, alikuwa anatuzunguka na kusaliti vijana ambao wanapigwa virungu yeye anakula sahani moja na mafarisayo. hii ni evidence ya wazi ameamua sasa kutoa kwenye cartain.
 
Kabisaa anaanza kutoa makucha taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…