Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

Mimi kwetu ni huko huko lkn dingi ajawai kutupeleka tumekuwa watoto wa dar tuu
 
Songea Sio mkoa wa Ruvuma? Hivi ni makabila gani yanapatikana huko?

Wewe ni mtu zaidi ya wa 20 kutoka huko ambao hamtaki kabisa kurudi kwenu, Mbagala wamejaa sana ila kwao kama wamehama. Kuna jamaa alienda mwaka jana baada ya miaka 15 alikuta kupo vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…