bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Mimi kwetu ni huko huko lkn dingi ajawai kutupeleka tumekuwa watoto wa dar tuuKweli kbs mkuu, huku kwetu Songea wana mambo ya ajabu sana, sisi tulimzika baba yetu mpendwa 2016, mwaka 2017 tukaenda kujengea kaburi lakini baada ya hapo ndio imekua nitolee yaani. Wao ndio wanawezana ila sisi tuliokulia mjini tunahofia maana afadhali basi hata kama ndugu yako ni mwanga basi wangekuwa wanakulinda lakini wao ndio wanakunyoosha daah!