Ushirikina Uwanja wa Taifa Usiku huu kuelekea Derby ya Kariakoo

Mm mbona sina ushabiki na timu yoyote hapo
 
NA WEWE KAMA SIO MUHUSIKAAA UMETOKANA NAOO WAPIII AISEE ..UKOJUU
 
ndo maana hata hatuendelei kwenye soka.tukitaka kifika kama brazili wafe wote mpaka tff
 
D10 co mropokaji km albino wao yle!
 
Binafsi siamini ktk ushirikina, ila kama watu ninaowasimamia/ nilio nao wanauamini, NITAUTUMIA kucheza na saikolojia yao eidha in a positive way au in a negative way!
 
kuna sehemu kigoma inaitwa kibondo hilo chimbo muulize baba mwenye nyumba mstaafu alikuwa akienda kigoma lazima akalale hicho kijiji maana pale ni makutano ya uchawi Mshana Jr
We kiazi acha kupoteza umma Kibondo ni wilaya kubwa tu kigoma sio kijiji kama unavolopoka humuuu,,, na hakuna uchawi wowote paleee,,,, zwazwa mkubwa wew
 
huku kwetu ushuwani kuna watu hawajui Simba na Yanga..maongezi yao ni golf tu
 

Mkuu toka lin Ten akawa na porojo?

Mwenye porojo ni huyo ndugu yenu Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…