Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA WEWE KAMA SIO MUHUSIKAAA UMETOKANA NAOO WAPIII AISEE ..UKOJUUNimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
NAWEWEE HUKO KWA MAREHEMU ULIKUWA UNAPIGA CHA FASTA NINI WALE....Mkuu, wengine Jana usiku walikuwa pale makaburi kinondoni wakichawia.. Yaan duuh bongo Nyosso
Ten co mropokaji km albino wao yle!Ushirikina ndiyo dini yenye wafuasi wengi sana Tanzania
D10 co mropokaji km albino wao yle!Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
Mm pia nimemwambia D10 utamfananishaje na manara? awe na heshma kdg mtoa mada!Katika hili naomba umuondoe Dismas Ten bali Haji Manara linamhusu zaidi.
Jina lke linaanza na G eeee!Kuna kadogo ka simba kana preach ushirikina humu ndani hamjakaona tu??
Iko clip mganga wao amenyakwa jana usiku na kiroba cha tunguli hapo taifa.Hahaaa. Kumbe hadi wale wanaojisifia kuwa na kikosi bora bado hawajiamini. Lol.
Pole yao.
Hili timu la kichawi,nasikia wanajisifia wameleta mvuaTupo vizuri; tunajulika mpaka nje ya nchi kwa ushirikina ktk soka. [emoji116][emoji116]
View attachment 759768
Of courseBinafsi siamini ktk ushirikina, ila kama watu ninaowasimamia/ nilio nao wanauamini, NITAUTUMIA kucheza na saikolojia yao eidha in a positive way au in a negative way!
We kiazi acha kupoteza umma Kibondo ni wilaya kubwa tu kigoma sio kijiji kama unavolopoka humuuu,,, na hakuna uchawi wowote paleee,,,, zwazwa mkubwa wewkuna sehemu kigoma inaitwa kibondo hilo chimbo muulize baba mwenye nyumba mstaafu alikuwa akienda kigoma lazima akalale hicho kijiji maana pale ni makutano ya uchawi Mshana Jr
Basi wana shida aiseee.Iko clip mganga wao amenyakwa jana usiku na kiroba cha tunguli hapo taifa.
mbona povu lingi ndo kwenu nn ?We kiazi acha kupoteza umma Kibondo ni wilaya kubwa tu kigoma sio kijiji kama unavolopoka humuuu,,, na hakuna uchawi wowote paleee,,,, zwazwa mkubwa wew
AyeeeeeJina lke linaanza na G eeee!
Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.