Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Hii ni dunia ya mwisho. Tutayaona mengi ambayo tumeahidiwa kuyaona kabla kiama chenyewe..tujitahid na ibada, dunia ni mapito tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama wanajilaumu kwa nini walisambaza ukristo badala ya kusambaza ushoga !!Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini bali ni u Sodoma na Gomora.Nadhani sasa wale waliosambaza Ukristo wamepaliwa pepo la kusambaza ushetani! Ni wakati sasa Afrika kukataa vitu vidivyompendeza Mungu.
Hao wazungu wenyewe wanajua sasa hivi kuna vilaza watupu Afrika ndio maana wanafanya hivyo. Na kuna watu wamewakaribisha huko kwenye nchi zao sasa hivi wanawasaidia kunadi hizi nadharia zao za maisha.MKUU hakika mm nashangaa why tunaweweseka ??
ningependa sana hili linalotokea sasa lingetokea kipindi miamba na nguri wa afrika wangekuwepo hakika naamini kauli zao zingenikosha sana wapi NYerere hakika asinge kuwa kimya mpaka Leo.
Gaddafi nawengineo hakika wangeikomboa na kuijengea afrika heshima na kuishushia neema ya mwenyezi mungu.
wapi Bob Marley Africa unite
Huo ushauri wako nao sio. Wewe unadhani hao wachina na warusi ndio hawana masharti, ni vile tu hawako kwenye nafasi ya kulazimisha yale wanayotaka. Ila hata wao wakipata hiyo nafasi watafanya hivyo. Hata waafrika nao wakipata nafasi watataka kulazimisha mambo yao, ni asili tu ya binadamu. Suala la msingi ni kujitegemea, ikitokea kuna ushirika heshima inakuwepo.nchi za afrika wawe na msimamo wa kutoyumbishwa hata china na urusi wanaweza kua washirika wazuri tu. tuachane na western na waondoe makampuni yao afrika.tatizo naloona ni unafiki uliopo miongoni mwetu.
Taifa la Mungu hilo wewe. Ushasahau?Mbona watu wanauawa kwenye vita dhidi ya ugaidi lakini hawajaongelea haki za binadamu wameona ushoga tu nisemetu ukweli marekani itakuja kuanguka vibaya sana nadhani nitakuasipo hai lakini mwisho wake umekaribia ghadhabu ya mungu itawashukia
mtoto wako wa kiume akiamua kuwa shoga utamuacha aishi atakavyo??? we ----- kwel
Kama nimeamua kuwa shoga, na sina mpenzi lazima nitakutafuta nikushawishi wewe ambaye huajapata wazo, au hasa mtoto akijana mdogo anifanyie ninavyotaka. Kwa hio tutazalisha taifa la watu wenye kupenda kufikiria starehe zao zaidi bdala ya majukumu ya ubinadamu wao.
Ushoga na haki za ushoga kwa mtazamo wangu ni tabia ya kutokupenda kukubali udhaifu na uhitaji wa msaada wa hormonal imbalance kama udhaifu mwingine.
Hawa watu wanadai haki na tunapoteza muda kuwajadili badala ya kupoteza muda kutafuta dawa wapone???
huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, lazima kila binadamu apate fursa ya kutibiwa.
Ila tunawapenda ndugu zetu, ila wasiambukize watoto wetu.
Wewe unalinganisha ushoga na utumwa wa mtu mweusi?!! Utumwa kwani unaruhusiwa kwenye biblia au dini yeyote?!!When slavery worked in the advantage of all slave owners/whites/population in the US, a brave man called Abraham Lincoln stood up to congress,the senate and declared the black man equal! Think about it... He did not have to do it...
wew tu ndo hutaki kuelewa, unadhani kupiga marufuku ushoga jeshi litakuwa linapitia kila nyumba kusaka waliolala kuona kama ni watu wa jinsia moja!!!. hata wangesema tunapiga marufuku kuonekana hadharan ushoga ila mafichoni ruksa, watu wa magharibi lazma wangesema wanayosema saiv, kuwa ni kukandamiza haki za binadamu.
mtoto wako wa kiume akiamua kuwa shoga utamuacha aishi atakavyo??? we ----- kwel
World bank pia ni bank ya Mashoga?? Uganda can use its resources and move on
Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini bali ni u Sodoma na Gomora.Nadhani sasa wale waliosambaza Ukristo wamepaliwa pepo la kusambaza ushetani! Ni wakati sasa Afrika kukataa vitu vidivyompendeza Mungu.
Uwezo huo tunao, tatizo HATUNA VIONGOZI!
Nini msimamo wa AU dhidi ya hawa washenzi wa IMF?
Napendekeza nchi zote za Afrika zitoe sheria ya kupinga ushoga na adhabu ya atakayepatikana iwe Kifo!