Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini bali ni u Sodoma na Gomora.Nadhani sasa wale waliosambaza Ukristo wamepaliwa pepo la kusambaza ushetani! Ni wakati sasa Afrika kukataa vitu vidivyompendeza Mungu.
Ni kama wanajilaumu kwa nini walisambaza ukristo badala ya kusambaza ushoga !!
 
MKUU hakika mm nashangaa why tunaweweseka ??
ningependa sana hili linalotokea sasa lingetokea kipindi miamba na nguri wa afrika wangekuwepo hakika naamini kauli zao zingenikosha sana wapi NYerere hakika asinge kuwa kimya mpaka Leo.
Gaddafi nawengineo hakika wangeikomboa na kuijengea afrika heshima na kuishushia neema ya mwenyezi mungu.

wapi Bob Marley Africa unite
Hao wazungu wenyewe wanajua sasa hivi kuna vilaza watupu Afrika ndio maana wanafanya hivyo. Na kuna watu wamewakaribisha huko kwenye nchi zao sasa hivi wanawasaidia kunadi hizi nadharia zao za maisha.
 
nchi za afrika wawe na msimamo wa kutoyumbishwa hata china na urusi wanaweza kua washirika wazuri tu. tuachane na western na waondoe makampuni yao afrika.tatizo naloona ni unafiki uliopo miongoni mwetu.
Huo ushauri wako nao sio. Wewe unadhani hao wachina na warusi ndio hawana masharti, ni vile tu hawako kwenye nafasi ya kulazimisha yale wanayotaka. Ila hata wao wakipata hiyo nafasi watafanya hivyo. Hata waafrika nao wakipata nafasi watataka kulazimisha mambo yao, ni asili tu ya binadamu. Suala la msingi ni kujitegemea, ikitokea kuna ushirika heshima inakuwepo.

Ni sawa tu na maisha tunayoishi na familia zetu. Huwezi kuwa unategemea misaada kutoka kwa mtu fulani kwa kila kitu katika maisha yako halafu utegemee kuheshimika. Hiyo haipo.
 
Mbona watu wanauawa kwenye vita dhidi ya ugaidi lakini hawajaongelea haki za binadamu wameona ushoga tu nisemetu ukweli marekani itakuja kuanguka vibaya sana nadhani nitakuasipo hai lakini mwisho wake umekaribia ghadhabu ya mungu itawashukia
Taifa la Mungu hilo wewe. Ushasahau?
 
Kama nimeamua kuwa shoga, na sina mpenzi lazima nitakutafuta nikushawishi wewe ambaye huajapata wazo, au hasa mtoto akijana mdogo anifanyie ninavyotaka. Kwa hio tutazalisha taifa la watu wenye kupenda kufikiria starehe zao zaidi bdala ya majukumu ya ubinadamu wao.
Ushoga na haki za ushoga kwa mtazamo wangu ni tabia ya kutokupenda kukubali udhaifu na uhitaji wa msaada wa hormonal imbalance kama udhaifu mwingine.
Hawa watu wanadai haki na tunapoteza muda kuwajadili badala ya kupoteza muda kutafuta dawa wapone???
huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, lazima kila binadamu apate fursa ya kutibiwa.
Ila tunawapenda ndugu zetu, ila wasiambukize watoto wetu.

umeamua kuwa shoga fanya ushoga wako na wenzio[wapo wengi sana] ila ukinifuata mimi nitakwambia IM STRAIGHT,whats wrong with that?

hivi nikuulize,kwani sasa hivi hamna mashoga?wapo kibao na wengine mnaishi nao majumbani kwenu,mitaani kwenu etc as long as ushoga wao wanaufanyia kwa wenzao let them be who they wanna be.
 
When slavery worked in the advantage of all slave owners/whites/population in the US, a brave man called Abraham Lincoln stood up to congress,the senate and declared the black man equal! Think about it... He did not have to do it...
Wewe unalinganisha ushoga na utumwa wa mtu mweusi?!! Utumwa kwani unaruhusiwa kwenye biblia au dini yeyote?!!
 
wew tu ndo hutaki kuelewa, unadhani kupiga marufuku ushoga jeshi litakuwa linapitia kila nyumba kusaka waliolala kuona kama ni watu wa jinsia moja!!!. hata wangesema tunapiga marufuku kuonekana hadharan ushoga ila mafichoni ruksa, watu wa magharibi lazma wangesema wanayosema saiv, kuwa ni kukandamiza haki za binadamu.

Una substance au quotation ya hiyo sheria au unajisemea kwa ku assume tu?
 
JF kuna michelemichele mingi sana inaishi ulaya na US nyie mibwabwa endeleeni kukung'utwa msije na mifano hafifu eti tulilazimishwa vyama vingi; nchi za magharibi lazima kwenye demokrasia kuna kukubali na kukataa kama tulikubali vyama vingi hili hatulitaki kuna nchi mashoga wanauliwa huwasikii wakisema kitu. Kila nchi ina haki ya kulinda mila na utamaduni wake.
 
Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini bali ni u Sodoma na Gomora.Nadhani sasa wale waliosambaza Ukristo wamepaliwa pepo la kusambaza ushetani! Ni wakati sasa Afrika kukataa vitu vidivyompendeza Mungu.

Acha kujadili mada kijinga namna hiyo, Ukristo unahusiswaje na hii mada? Kuhusu mambo ya ushoga Bible imeweka wazi kuwa wafiraji/wafirwaji ni watu wa motoni, hayo mengine ni matakwa ya watu binafsi hayahusiani na Ukristo.
 
Nini msimamo wa AU dhidi ya hawa washenzi wa IMF?
Napendekeza nchi zote za Afrika zitoe sheria ya kupinga ushoga na adhabu ya atakayepatikana iwe Kifo!
 
Huko ulaya na marekani naona wote wanapenda sana ushoga na ubasha.
Hawajijui lakini wanajianngamizs
 
Nini msimamo wa AU dhidi ya hawa washenzi wa IMF?
Napendekeza nchi zote za Afrika zitoe sheria ya kupinga ushoga na adhabu ya atakayepatikana iwe Kifo!

Mkuu unavyoiongelea AFRICA wewe ni mgeni kwenye BARA hili,,! Wenyewe wanaoenea vijicho kiongozi Mwenzao akipendwa na Wazungu ss wasema leo waungane kupinga! Ndg una MOYO mgumu sana!
 
ndio uone hao watu wa mataifa ya mbele si watu wa kuwachekea. ug endeleeni na msimamo wenu.
 
Back
Top Bottom