Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Siku zote masikini huwa na roho mbaya sana na kila kitu anatafuta wa kumpa lawama!!Wao waache wafanye yao wanayoyaona ni sawa na wewe fanya yako.Sisi kila siku tunafanyiana ukatili wa kutisha kutokana na imani potofu hadi unajiuliza hivi kweli huu unyama umefanywa na binadamu?!hadi shetani naye anashituka lakini mbona hatuoni kuwa ni tatizo?!!letu ,mtu akitumia bunduki kuua watu wengi huku utasikia ma cinema ya wazungu mala ma cartoon hayo ndiyo yanafundisha?!!haya kwenye kufukua makabuli na kuchukua viungo vya maiti?!!TUACHE UNAFIKI
 
Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Kwa ninachokiona kwa sasa kwetu ngozi nyeusi nitakuwa kiumbe wa mwisho kuamini hicho ulichokiandika,Kwani wewe fuata tamaduni zako wao waache na yao lakini kwa nini sisi wafrika tunawashwa na mambo yao?!!miaka 60 ya uhuru bado njaa inauwa watu Afrika ,Nenda kaangalie pembe ya afrika watu wanavyokufa na njaa huko n ni waafrika wenzetu kuna msaada gani tunawo wapa zaidi ya kumsubilia huyo mzungu?!!Bila mzungu maisha ya mwafrika lazima yawe HATARINI.
 
Tutajie idadi ya mashoga au % yao kwenye hayo maeneo uliyoyataja.
Ikikupendeza tuambie na sensa imefanyika lini kupata hizo data.
 
Wazungu watu wa hovyo sana
Waafrika tuache unafiki bnana!!tupambane na matatizo yetu ya wananchi kufa kutona na kukosa chakula miaka 60 tangu uhuru!!Hao mnaowaita watu wa hovyo wana kula maisha mazuri tu wala hawazi tena leo ntakula nini.Licha ya hayo mambo yake unayoyaona ya ovyo ila nyie kuuana kutokana na imani za kishrikina ni sawa?!!
 
Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Eti waligundua na kuupanda wakiwa wa kwanza mlima kilimanjaro hahhaa uwa nacheka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…