Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Kujiandaa na uzee ni pamoja na kuwatafutia vijana MAMA mzuri pia.

unaweza ukapambana sana ukapata chenchi ila ukikosea hapa napo hiyo fainali uzeeni hutoki ....😁

Tuache tafadhali ndugu ....
Sawa nimekuacha mkuu! Unamaanisha huyo mkuu ndo kaanza mchakato wa kutafuta mama mzuri?😀 hii ni defense mechanism tu hamna lolote someni huko
 
CBE diploma nao wana lecturer hall ? Nimevuta hisia za yale ma THEATRE HALL pale UDSM
 
Kidogo basi tusindikize na kapicha ka huyo mtoto mzuri hata ukiweka miguu itakuwa sio mbaya sana😄😄😄
 
Sawa nimekuacha mkuu! Unamaanisha huyo mkuu ndo kaanza mchakato wa kutafuta mama mzuri?😀 hii ni defense mechanism tu hamna lolote someni huko
Eeeh ....
Hamchelewagi baadae kuja sema ...."oooh alikua anawaza kusoma Tu yeye ,hakujua kuna maisha tofauti na kusoma" 😁🙌

Kiukweli mnatuchanganya hatuwaelewi tushike kipi tuache kipi.
 
Bible yenyewe inasema mshike sana elimu usimuache aende zake, sasa endelea kushika mambo mengine, afu wanawake wazuri wanaendelea kuzaliwa kila siku hata ukifika kazini huko utakutana nao! Unatafuta mama mzuri chuo na hata hauko tayari kuoa sasa si matumizi mabaya hayo😀
 
Komaa na shule. Acha kupotezea watu muda na vistori vyako, utadisco dogo
 
Kwani tumesema hatumshiki, mbona Ivo ndugu 😒

Sawa maoni yako tumeyasikia , tutayafanyia kazi...🤝
 
Komaa na shule. Acha kupotezea watu muda na vistori vyako, utadisco dogo
Mimi nilikuwaga na kakeri kamoja kakanipa stress....na hapo nilikuwa nakulaga msuli wa maana haswa

May be chuo chao ni cha kubebana[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom