Kujiandaa na uzee ni pamoja na kuwatafutia vijana MAMA mzuri pia.Na overconfidence pia ni mbaya mkuu! Ndiyo nnachokiona kwako๐
Pamoja lete vitu sasa, unajua leo jpili watu wengi tu mapumziko.๐๐๐
Sawa nimekuacha mkuu! Unamaanisha huyo mkuu ndo kaanza mchakato wa kutafuta mama mzuri?๐ hii ni defense mechanism tu hamna lolote someni hukoKujiandaa na uzee ni pamoja na kuwatafutia vijana MAMA mzuri pia.
unaweza ukapambana sana ukapata chenchi ila ukikosea hapa napo hiyo fainali uzeeni hutoki ....๐
Tuache tafadhali ndugu ....
Eeeh ....Sawa nimekuacha mkuu! Unamaanisha huyo mkuu ndo kaanza mchakato wa kutafuta mama mzuri?๐ hii ni defense mechanism tu hamna lolote someni huko
๐๐๐utakuwa umetisha sanaHahaa ngoja niweke miguu hata na nyuma kidogo itapendeza
Bible yenyewe inasema mshike sana elimu usimuache aende zake, sasa endelea kushika mambo mengine, afu wanawake wazuri wanaendelea kuzaliwa kila siku hata ukifika kazini huko utakutana nao! Unatafuta mama mzuri chuo na hata hauko tayari kuoa sasa si matumizi mabaya hayo๐Eeeh ....
Hamchelewagi baadae kuja sema ...."oooh alikua anawaza kusoma Tu yeye ,hakujua kuna maisha tofauti na kusoma" ๐๐
Kiukweli mnatuchanganya hatuwaelewi tushike kipi tuache kipi.
Kwani tumesema hatumshiki, mbona Ivo ndugu ๐Bible yenyewe inasema mshike sana elimu usimuache aende zake, sasa endelea kushika mambo mengine, afu wanawake wazuri wanaendelea kuzaliwa kila siku hata ukifika kazini huko utakutana nao! Unatafuta mama mzuri chuo na hata hauko tayari kuoa sasa si matumizi mabaya hayo๐
Mimi nilikuwaga na kakeri kamoja kakanipa stress....na hapo nilikuwa nakulaga msuli wa maana haswaKomaa na shule. Acha kupotezea watu muda na vistori vyako, utadisco dogo
Basi baba neno langu siyo sheria๐ hata usifanyie kazikwani tumesema hatumshiki, mbona Ivo ndugu ๐
Sawa maoni yako tumeyasikia , tutayafanyia kazi...๐ค