Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Hilo pichani lipo karibu na Nanenane usawa wa kuelekea Uyole...
Nimeizoom vizuri hiyo ni kama ya mbalizi, hiyo ya Nanenane kuelekea uyole yenyewe haina hayo matangazo ya cocacola.
Inamaandishi tu ya karibu Mbeya na kwakheri na karibu tena.
 
Ni kama hiyo ila si hiyo.
Hiyo pichani ni reli ya mbalizi, ila sisi tulikuwa reli kama isyesye.
Utakuwa mgeni wa Mbeya au umezaliwa karibuni...

That photo was taken around 2007, ni hiyo njia ya kutokea Uyole kuelekea Sae/Ilomba/Mwanjelwa huko...

Kule Mbalizi by the way hakuna msitu wa miti hivyo bali msitu wa nyumba za watu, plus mandhari yake haina mamiti miti pembeni na lami yake ni mbaya mbaya yenye kuchagizwa na kimwinuko (sio tambarare)
 
"Ilikuwa mwaka 2016"
Mpaka 2021 dem ndo anakukubalia
Kuna watu hamko serious na maisha
 
Back
Top Bottom