Ushuhuda: Inanigharimu kurudi kula chakula cha nyumbani ila sijutii, Migahawa kutokaguliwa wanachopika ni hatari kiafya usipokuwa makini

Mimi niliwahi kula chipsi Mahali asee! Niliuguwa tumbo wiki nzima naendesha tu. Mpaka Leo chipsi naogopa kula za vibandani na migahawani kama sumu.
 
Mimi niliwahi kula chipsi Mahali asee! Niliuguwa tumbo wiki nzima naendesha tu. Mpaka Leo chipsi naogopa kula za vibandani na migahawani kama sumu.
Kula chipsi achana na kachumbari weka tomato n chill bas
 
Niliona wanaziblend pale kariakoo sokoni [emoji119][emoji119]
Ogopa sana nyanya zilizopangwa na vitunguu vya kupangwa lazima waweza mbovu pia....

Zile nyanya basi tu matumbo yetu sugu
 
Wachafu,vyombo waosha ktk maji machafu na misahani ya plastiki hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…