Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Mi imenisaidia sana kuchukulia mambo kawaida, sinaga presha at a kidogo. Nikiachwa saws, nikidhulumiwa sawa, maadui nawachukulia marafiki mpaka MTU anikunje roba ndo naelewa kuwA anamaanisha ndo namchenjia. Lakini imenifanya niishi katka mazingira ya kila namna. Niliacha kuvuta 2011

Wow!
Umeoa!?
 
Majani ya Bangi ni mboga nzuri sana .Kule kwetu nyanda za juu kusini kuna maeneo inatumika kama kitoweo.!
 
Sijawahi kua addict or smoke anything ile seriously.

Ila nikiwa chuo 1 st year kuna mwanangu mmoja aliniambia weed inaongeza hamasa kupiga msuli unaweza toboa mpaka chwee unapiga kitabu tu.....kuna wakati nikasema isiwe shida msela akanyonga ghettoni akaninyongea na yangu namuona hivi (incase asinichanganyie anything crazy)....

Tukawasha nikapiga for the first time, puff ya kwanza ile nika cough sanaa....jamaa kaniambia take it easy....nikapiga puff kadhaa....dah mazee ghafla nikaona kichwa na mwili nimekua mwepesi flan hivi...at times nikitembea naona kama miguu ina changanya yenyewe hivi like sio ki nguvu zangu mwenyewe.

Hyo siku nilipiga msuli mpaka asubuhi sikuchoka au kuwa stressed kabisa...the next day jamaa kaniambia nipige tena nikachomoa sikutaka mwili na akili uzoee kilevi au booster aina yeyote. Huo mmea ki ukweli una faida flan if used appropriately.

Hahahahahaha
 
Nilipiga kipindi nasoma mbeya university of science and technology nikitaka kwenda administration kumuona jamaa anaitwa kayuki napiga kwanza sasa hivi nimeokoka nampenda mungu
 
Afande Sele aliniambia yeye bangi inamsaidia kuvua nguo na kuvuta pumbu hadharani ila kama havuti hajisikii kufanya hivyo. Pia anadai, yeye akipiga bangi tu dushelele lake linasimama na kumdai apige besheni stejini live.
 
"Hiyo Mibangiii mnayooo vutaa ni stimu za kulandukaaa, Kamaa sio fani yako kwa kweeli utaaaumbukaaa!"
 
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)


Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.


Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.
Lumumba wanakaz sana ndo maana unatemaga mashudu tu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mimi ilinisaidia kupata matatizo makubwa. MF kukamatwa na polisi, kukaa sell siku kadhaa,kuwafanya ndugu zangu kupoteza muda wao muhimu na kuanza kufuatilia masuala yangu yasiyo na tija,kupoteza heshima mtaani,kuwatengenezea picha mbaya sana walezi wangu katika jamii iliyowazunguka, kuwa use less kwa kiasi kikubwa n.k. Bangi haisaidii watu bali inawaharibu watu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka nlikua nakunywa viroba nlipokua shule yan ilikua nikiingia kujisomea vitu vinakaa bila hata tabu..

Xo kwa upande wangu nlifaifika na viroba
 
Back
Top Bottom