Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 490
Kweli kabisa, haya majitu yanarudisha nyuma maendeleosasa nini kimekuleta hapa? nyie ndo mnaoifanya nchi yetu iwe maskin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa, haya majitu yanarudisha nyuma maendeleosasa nini kimekuleta hapa? nyie ndo mnaoifanya nchi yetu iwe maskin
Hahahaha wala usikhofu shemeji, siku ukija nitakuandalia yani ni taaaamu mwenyewe utang'ata vidole.Mhmhh sasa shemeji wanitia hofu,
Mi imenisaidia sana kuchukulia mambo kawaida, sinaga presha at a kidogo. Nikiachwa saws, nikidhulumiwa sawa, maadui nawachukulia marafiki mpaka MTU anikunje roba ndo naelewa kuwA anamaanisha ndo namchenjia. Lakini imenifanya niishi katka mazingira ya kila namna. Niliacha kuvuta 2011
Sijawahi kua addict or smoke anything ile seriously.
Ila nikiwa chuo 1 st year kuna mwanangu mmoja aliniambia weed inaongeza hamasa kupiga msuli unaweza toboa mpaka chwee unapiga kitabu tu.....kuna wakati nikasema isiwe shida msela akanyonga ghettoni akaninyongea na yangu namuona hivi (incase asinichanganyie anything crazy)....
Tukawasha nikapiga for the first time, puff ya kwanza ile nika cough sanaa....jamaa kaniambia take it easy....nikapiga puff kadhaa....dah mazee ghafla nikaona kichwa na mwili nimekua mwepesi flan hivi...at times nikitembea naona kama miguu ina changanya yenyewe hivi like sio ki nguvu zangu mwenyewe.
Hyo siku nilipiga msuli mpaka asubuhi sikuchoka au kuwa stressed kabisa...the next day jamaa kaniambia nipige tena nikachomoa sikutaka mwili na akili uzoee kilevi au booster aina yeyote. Huo mmea ki ukweli una faida flan if used appropriately.
Hahaaaaaaa inawezekana tunafahamiana maama mimi naishi kwa Wagumu na hapo uwanjani KITU KIPYA CAMP ndo mitaa yetu.Umeona eeh
Pia maeneo ya bonden kuelekea vingunguti hapa uwanjani kuna kitu bomna
Selaa unamfahamHahaaaaaaa inawezekana tunafahamiana maama mimi naishi kwa Wagumu na hapo uwanjani KITU KIPYA CAMP ndo mitaa yetu.
Hayo mauza uza yalikuwajeTulikuwa na tatizo la mauzauza bwenini, tukaambiana kuwa bangi ni dawa ya majini. Tumepuliza almanusura tuwe machizi but songombingo la majini liko pale pale.
Pambana na hali yako ndugu huyu jamaa ni kavurugwagpa ya 4.1 ya degree gani na chuo gan mwaka gan?
Lumumba wanakaz sana ndo maana unatemaga mashudu tuMimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)
Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.
Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.
Hii imefunika ase bwana mchawiKufanya kazi mochwari bila hofu[emoji15] [emoji15] [emoji15]