Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

Aya ya mwisho ndio jambo la msingi zaidi. Uzinzi siyo poa
 
Mwamba nimekukubali sana, mwanaume lazima upitie vitu kama hivyo. Mimi nilishakamatwa namnaniliu mtu kwenye gari pale pale Corner bar kwenye parking, tena seat ya mbele ya dereva, na hiyo sehemu ilikuwa na kamwanga flani ka taa!! Tatizo nilikuwa tungi sana, aisee jamaa walinichukua mavideo na mapicha kibao. Mwisho wa siku niliwatoa 200k, wakaniachia tukiwa nje pale mabatini, and wakafuta na zile picha. Nilimind balaa, nikarudi tena Corner kuendelea kunywa, wakanikuta wakacheka sana, wakasema dogo wewe mtata sana, enzi hizo nilikuwa bwana mdogo nimetoka kumaliza chuo, wakanipiga mzinga niwape round kwani walikuwa na nguo za kiraia, nikapiga nao bia za kutosha. Tangu siku hiyo wakawa rafiki zangu.
 
Polisi ndiyo issue zao wanakula na hao mabinti poa
Kuna Sheria inazuia watu kufanya mapenzi? Au ndio hizi kesi za hakimu polisi na mahakama ni kituo cha polisi? Wajuzi wa Sheria pls.
 
Kama nakuona ulivyotoa macho ulipoambiwa mtapigwa picha na zitawekwa kwenye mitandao😂,usirudie tena,zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...
 
Yaani ulilipia mshindo mmoja 20k kona bar?? Kweli bongo nyosso...
 
Sijawahi kumtamani kahaba kwenye mizunguko yangu yakutafuta pesa kila siku watu wanalizwa kizembe
 
Good ndio namna nzuri ya kudeal nao,baada ya hapo hawasumbui tena
 
Pole wewe Ni mshamba wa jiji hao Malaya elfu tano unapata, hafu wengi wa machangu wanajuana na Askari na kazi Ni kuwatoa hela wanaume then wanagawana. So acha uzinzi
[emoji23][emoji1787],buku tano tu daaaah
 
Kisheria Polisi hawatakiwi kuingia chumba cha hoteli/ guest house bila kupata search warrant mahakamani.

Hapo sasa! Pilice anaingiaje chumba changu bila warant na mkt wa s.za mtaa! Nahata wakinikuta na dodo wananikamata kwa kosa lipi labda.
Tatizo ni ufara....! Police ni usarama wa raia nikiona police au defender nahisi niko sarama.
Tatizo ni ukiona gwanda mavi yanagonga chupi yanarudi . Eti laki2 weeee nimerogwa labda zabandia, mi nikiwapa ujue za bandia maana hawawezi chunguza rushwa.
 
Hiyo h
Pole wewe Ni mshamba wa jiji hao Malaya elfu tano unapata, hafu wengi wa machangu wanajuana na Askari na kazi Ni kuwatoa hela wanaume then wanagawana. So acha uzinzi
sidhani kama unapajua ambiance boom likiwa halijatoka wale wa taasisi jirani wanajisogeza hiyo bei uliyosema ni ya kimboka
 
Kisheria Polisi hawatakiwi kuingia chumba cha hoteli/ guest house bila kupata search warrant mahakamani.
Hapa bongo hio hawaijui

Polisi alieoshia Form iv atajulia wapi Sheria

Kuna "baadhi" ya Askari wamegeuza polisi Kama "lagal Gang "

Wanapush kwa namna wanavyotaka kisa tu wao Ni maaskari .

Wabadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…