Embu tuambie shule anayosoma mwanao ?Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali linamaanisha nini kwa kiswahili ili nione kama kaelewa ndio nimsaidie lakini alikuwa anapata wakati mgumu, ajabu ni kwamba nikimuliza maswali ya homework zake za zamani majibu ananipa vizuri ila nikumuuliza maana ya maswali niliyomuuliza inakuwa taabu kidogo.
Pia katika maswali nimeona kwa level ambayo yupo walimu wao wa hapa kwetu wana complicate sana mambo kwenye lugha hasa kwa kutumia misamiati migumu kidogo kwa mtoto wa darasa la tatu.
Kwa upande wa mtoto wangu, nae yupo darasa la nne shule yao ni ya mtaala wa kiingereza ila walimu wengi wametokea Zambia, kiukweli kwenye lugha hata kunipa tafsiri huwa sio tabu na walimu wao sio kwamba hizi kugha wamejifunzia ukubwani bali ni lugha za nchi yao kwa hio kuna njia rahisi zaidi wanatumia ili watoto waelewe.
kuna siku kulikuwa na mhubiri anaeongea kiingerea ilibidi awe anatafsiriwa na , basi mtoto wangu alikuwa nae anatafsiria wenzake vizuri kabisa kiukweli nilikuwa nafarijika, mtu kama kiingereza kimepanda kutafsiri ni ishu ndogo tu.
Mapendekezo:
Ni bora zaidi kumpeleka mtoto kwenye shule ya kiingereza yenye walimu ambao asili ya nchi zao kiingereza ni mojawapo ya lugha za taifa tangu utotoni mtu anaitumia. kama ni kumpeleka mtoto shule ambazo walimu ni wenye asili ya hapa kwetu ambako wengi huanza kujifunza kiingereza sekondari basi tuwe tunajihakikishia lugha wanaielewa vizuri.
Ziko wapi hizo shule zenye walimu wakenya, waganda... wakutoshaHiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali linamaanisha nini kwa kiswahili ili nione kama kaelewa ndio nimsaidie lakini alikuwa anapata wakati mgumu, ajabu ni kwamba nikimuliza maswali ya homework zake za zamani majibu ananipa vizuri ila nikumuuliza maana ya maswali niliyomuuliza inakuwa taabu kidogo.
Pia katika maswali nimeona kwa level ambayo yupo walimu wao wa hapa kwetu wana complicate sana mambo kwenye lugha hasa kwa kutumia misamiati migumu kidogo kwa mtoto wa darasa la tatu.
Kwa upande wa mtoto wangu, nae yupo darasa la nne shule yao ni ya mtaala wa kiingereza ila walimu wengi wametokea Zambia, kiukweli kwenye lugha hata kunipa tafsiri huwa sio tabu na walimu wao sio kwamba hizi kugha wamejifunzia ukubwani bali ni lugha za nchi yao kwa hio kuna njia rahisi zaidi wanatumia ili watoto waelewe.
kuna siku kulikuwa na mhubiri anaeongea kiingerea ilibidi awe anatafsiriwa na , basi mtoto wangu alikuwa nae anatafsiria wenzake vizuri kabisa kiukweli nilikuwa nafarijika, mtu kama kiingereza kimepanda kutafsiri ni ishu ndogo tu.
Mapendekezo:
Ni bora zaidi kumpeleka mtoto kwenye shule ya kiingereza yenye walimu ambao asili ya nchi zao kiingereza ni mojawapo ya lugha za taifa tangu utotoni mtu anaitumia. kama ni kumpeleka mtoto shule ambazo walimu ni wenye asili ya hapa kwetu ambako wengi huanza kujifunza kiingereza sekondari basi tuwe tunajihakikishia lugha wanaielewa vizuri.
Uko mkoa gani?Ni kuhusu asili ya walimu wanaofundisha kwemye shule za English Medium hapa nchini, ni bora upeleke mtoto shule ambayo walimu wake wametokea nchi tajwa kuliko walimu wenye asili ya hapa kwetu.
Mkuu achana na haya majukwaa. Twende Kule kwenye jukwaa la GARAGEHuyo DJ kilaza kweli sasa anapigaje mask off kwenye hafla ya watoto😅
Twende mzeeMkuu achana na haya majukwaa. Twende Kule kwenye jukwaa la GARAGE
Huu ujinga wa ki ngereza mtauacha lini?Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali linamaanisha nini kwa kiswahili ili nione kama kaelewa ndio nimsaidie lakini alikuwa anapata wakati mgumu, ajabu ni kwamba nikimuliza maswali ya homework zake za zamani majibu ananipa vizuri ila nikumuuliza maana ya maswali niliyomuuliza inakuwa taabu kidogo.
Pia katika maswali nimeona kwa level ambayo yupo walimu wao wa hapa kwetu wana complicate sana mambo kwenye lugha hasa kwa kutumia misamiati migumu kidogo kwa mtoto wa darasa la tatu.
Kwa upande wa mtoto wangu, nae yupo darasa la nne shule yao ni ya mtaala wa kiingereza ila walimu wengi wametokea Zambia, kiukweli kwenye lugha hata kunipa tafsiri huwa sio tabu na walimu wao sio kwamba hizi kugha wamejifunzia ukubwani bali ni lugha za nchi yao kwa hio kuna njia rahisi zaidi wanatumia ili watoto waelewe.
kuna siku kulikuwa na mhubiri anaeongea kiingerea ilibidi awe anatafsiriwa na , basi mtoto wangu alikuwa nae anatafsiria wenzake vizuri kabisa kiukweli nilikuwa nafarijika, mtu kama kiingereza kimepanda kutafsiri ni ishu ndogo tu.
Mapendekezo:
Ni bora zaidi kumpeleka mtoto kwenye shule ya kiingereza yenye walimu ambao asili ya nchi zao kiingereza ni mojawapo ya lugha za taifa tangu utotoni mtu anaitumia. kama ni kumpeleka mtoto shule ambazo walimu ni wenye asili ya hapa kwetu ambako wengi huanza kujifunza kiingereza sekondari basi tuwe tunajihakikishia lugha wanaielewa vizuri.
Kabisaa.,kuna jamaa hapa nlikua nawaelzea mechanism ya electromagnetic waves kwa kiswahili,wallahi ilifika mda hadi mi mwenyewe muelezeaji nkawa naona manyota nyota kutafsiriUlichofail Ni kumuelezea mtoto kwa kiswahili wakati yy kafundishwa na kielezewa kwa kiingereza siku nyingine jaribu kumfafanulia kwa kiingereza uone km hataelewa asilimia kubwa Hawa watoto vitu vingi wanakuwa wanavijua kwa lugha ya kiingereza ukiwaambia au kuwapa kwa kiswahili huwa wanashindwa.
Elimu yetu ingekuwa hivi nadhan wachina marekan wangekuja kujifunza kwetuHuu ujinga wa ki ngereza mtauacha lini?
Hao wazambia mbona ni hohehahe tu kama watanzania, wamalawi ndio usiseme yani ni choka tu.
Africa imejaa bogus peoples ila sio wewe mkuu.
Nilifikiri utaniambia labda mtoto anajua ms office, ana speed ya kuchapa ya hatari, anajua kusurf na kujitafutia mambo yake, anajua some basic of graphics design, anaweza kutengeneza katoons, anajua kutumia google map vizuri, anajua kutumia webquest,podcast, simulation.
kufanya troubleshooting collapsed softwares ndogo ndogo.
Anaweza kutumia app za kujifunzia hisabati,chinese, english nk
Anaweza ku set na ku reset android/ios phone, computer nk anaweza ku download na ku upload vitu mtandaoni, anaweza kutofautisha blog,wesite,forum nk ,
Anatimbua basic electronics devices.
Anaweza ku analyse sifa za udongo na namna unavyoathiri mazao,
anaweza kupanga lishe bora, anaweza ku manage timetable yake ya kila siku na kujitofautisha na wa kayumba bila kusimamiwa ?
Mambo mengi mengi hao watoto hawajui zaidi ya hicho kingereza.
Jaribuni kuangalia humo mitandaoni watoto wa wenzetu wanaojitambua wanafanya nini, wanaweza nini sio utopolo huu mnao unadi kila kukicha.
Watoto wenu hao hawawezi chochote cha maana ktk ulimwengu wa teknolojia.
Kuna shule moja huwa naitembelea yani nabaki tu kujiuliza na kuwashangaa wazazi malimbukeni jinsi ambavyo wanawapotezea muda watoto wao. Ile shule ni gereza la kuongea kingereza hamna cha zaidi kinachomyofautisha na mtoto wa kayumba ikiwemo uchafu lakini shule inakuwa ya 5 kiwilaya.
Kumbuka hizo shule zinatumia mtaala uleule wa kayumba usioendana na zama za sayansi na teknolojia .
Sasa utakilinganisha na cha kwetu ?! .First inakuwa fast
Work inakuwa wak
Girl inakuwa gal
Grammar iko njema sema matamshi yao huwa siyapendi nimefanya nao kazi sana.
Wafundisha kiingereza kilichoathiriwa na mother tongue zao, hawajui chochote kuhusu IPA.
Mkuu wale kinachowabeba ni kiingereza tu hakuna kingineSasa utakilinganisha na cha kwetu ?! .
Tena bora hata hicho English, Hesabu ni balaa kwa nchi nzima !
Kiingereza ni kiswahili cha dunia kubali ukatae.Mkuu wale kinachowabeba ni kiingereza tu hakuna kingine
Hilo sikukatalii mkuu, lakini kuwa fluent kwenye hii lugha ni zaidi ya kusoma darasani.Kiingereza ni kiswahili cha dunia kubali ukatae.
Kiswahili chako ukivuka nje ya mipaka ya Tanzania, hakina maana na hakina msaada.
Shule kama hizi bongo sidhani kama zipo.Huu ujinga wa ki ngereza mtauacha lini?
Hao wazambia mbona ni hohehahe tu kama watanzania, wamalawi ndio usiseme yani ni choka tu.
Africa imejaa bogus peoples ila sio wewe mkuu.
Nilifikiri utaniambia labda mtoto anajua ms office, ana speed ya kuchapa ya hatari, anajua kusurf na kujitafutia mambo yake, anajua some basic of graphics design, anaweza kutengeneza katoons, anajua kutumia google map vizuri, anajua kutumia webquest,podcast, simulation.
kufanya troubleshooting collapsed softwares ndogo ndogo.
Anaweza kutumia app za kujifunzia hisabati,chinese, english nk
Anaweza ku set na ku reset android/ios phone, computer nk anaweza ku download na ku upload vitu mtandaoni, anaweza kutofautisha blog,wesite,forum nk ,
Anatimbua basic electronics devices.
Anaweza ku analyse sifa za udongo na namna unavyoathiri mazao,
anaweza kupanga lishe bora, anaweza ku manage timetable yake ya kila siku na kujitofautisha na wa kayumba bila kusimamiwa ?
Mambo mengi mengi hao watoto hawajui zaidi ya hicho kingereza.
Jaribuni kuangalia humo mitandaoni watoto wa wenzetu wanaojitambua wanafanya nini, wanaweza nini sio utopolo huu mnao unadi kila kukicha.
Watoto wenu hao hawawezi chochote cha maana ktk ulimwengu wa teknolojia.
Kuna shule moja huwa naitembelea yani nabaki tu kujiuliza na kuwashangaa wazazi malimbukeni jinsi ambavyo wanawapotezea muda watoto wao. Ile shule ni gereza la kuongea kingereza hamna cha zaidi kinachomyofautisha na mtoto wa kayumba ikiwemo uchafu lakini shule inakuwa ya 5 kiwilaya.
Kumbuka hizo shule zinatumia mtaala uleule wa kayumba usioendana na zama za sayansi na teknolojia .
Ni bora zaidi kumpeleka mtoto kwenye shule ya kiingereza yenye walimu ambao asili ya nchi zao kiingereza ni mojawapo ya lugha za taifa tangu utotoni mtu anaitumia. kama ni kumpeleka mtoto shule ambazo walimu ni wenye asili ya hapa kwetu ambako wengi huanza kujifunza kiingereza sekondari basi tuwe tunajihakikishia lugha wanaielewa vizuri
kwahiyo wa kwako anasoma shule gani(jina) na iko wapiNi bora zaidi kumpeleka mtoto kwenye shule ya kiingereza yenye walimu ambao asili ya nchi zao kiingereza ni mojawapo ya lugha za taifa tangu utotoni mtu anaitumia. kama ni kumpeleka mtoto shule ambazo walimu ni wenye asili ya hapa kwetu ambako wengi huanza kujifunza kiingereza sekondari basi tuwe tunajihakikishia lugha wanaielewa vizuri
You can find me in the club, bottle full of bubnajua wapo wabongo ambao wapo fresh kwenye ngeli lakini wengi ni hawa ze ze ze ze, due to, nadhani umeona hata watu wazito kiingereza kinavyowapiga chenga.
Nakumbuka nilienda kwenye hafla flani pale shuleni kwa mwanangu dj alipiga ngoma ya future - mask. off, kuna mwalimu alimkataza haraka sana asirudie hio ngoma na kweli maneno yaliyokuwa ya kizungumzwa hayafai kwa watoto, lakini muda huo huo nilikumbuka zamani kuna mwalimu wa kiingereza shuleni kwetu inapigwa ngoma ya in da club ya 50 cent kwenye mahafali yeye wala hana hata anachokijua yani mziki umejaa matusi acha tu