Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

Upuuzi mtupu,watu wanakula mihogo non stop unadhani cyanide itawaacha,watu wanakula michumvi ambayo haina iodine akili waikute wapi?.Hakuna mchawi hapo anaunga kuu doti ili apate umaarufu.
Kwamba alikuwa mchawi akaachanau hakuwa hai kuwa mchawi, Mimi sina jibu. Lakini kuna mambo yanafikirisha:

1. Ikiwa anachosema ni uongo, mbona Serikali iko kimya? Kuna maeneo Seriakali imeguswa, kama asili ya mbio za mwenge, kifo cha Sokoine, Waziri Mkuu kutokuwa Rais wa Tanganyika, Makweta kuzubaishwa ili asigombee Urais, n.k.

2. Kujua ni kosa la jinai. Lakini huyo mtu kuna maeneo alikiri kujua watu kishirikina na alisimulia jinsi walivyotoa kafara mpaka ya watch hai kwenye tambiko la Lindi. Unaamini kuwa Serikali haikupata hiyo clip? Mbona haikumchukulia hatua yoyote?

Ukiyatafakari hayo, huenda ukashawishika kukubali kuwa yana mashiko, vinginevyo, asingekubali kuyaweka YouTube kwa ajili ya kusikilizwa na kila mtu wakiwemo viongozi wa Serikali.
 
Huyu Shehe Mnyeshani sijui anapatikdana wapi.
Nina hamu ya kumwona na kuongea naye mambo mawili matatu.
 
Nilichoelewa!

Ccm ni chama Cha wachawi na vyama pinzani pia!!

Ina maana kila mwanachama wa kisiasa no mfuasi wa uchawi was nchi!!

Labda nabii Musa wa Tanzania,ataiokoa nchi dhidi ya mazindiko ya wachawi!!
 
Inakutaka uwe mpumbavu hasa kuukubali huo upumbavu. Hebu nyie waamini nisaidieni hili

Kusudi la Mungu laweza zuiwa na binadamu? Kama laweza zuiwa, hizo nyimbo mnazotuimbia kila siku akipangacho yeye hakuna wa kukipangua huyu ni Mungu wa namna gani?
 
Huyu Shehe Mnyeshani sijui anapatikdana wapi.
Nina hamu ya kumwona na kuongea naye mambo mawili matatu.
Mie pia natamani kumuona na pia ningemuona shuhuda mwingine aliyekuwepo huko lindi ili nimsikie na huyo maelezo yake
 
Back
Top Bottom