GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #161
Kwamba alikuwa mchawi akaachanau hakuwa hai kuwa mchawi, Mimi sina jibu. Lakini kuna mambo yanafikirisha:Upuuzi mtupu,watu wanakula mihogo non stop unadhani cyanide itawaacha,watu wanakula michumvi ambayo haina iodine akili waikute wapi?.Hakuna mchawi hapo anaunga kuu doti ili apate umaarufu.
1. Ikiwa anachosema ni uongo, mbona Serikali iko kimya? Kuna maeneo Seriakali imeguswa, kama asili ya mbio za mwenge, kifo cha Sokoine, Waziri Mkuu kutokuwa Rais wa Tanganyika, Makweta kuzubaishwa ili asigombee Urais, n.k.
2. Kujua ni kosa la jinai. Lakini huyo mtu kuna maeneo alikiri kujua watu kishirikina na alisimulia jinsi walivyotoa kafara mpaka ya watch hai kwenye tambiko la Lindi. Unaamini kuwa Serikali haikupata hiyo clip? Mbona haikumchukulia hatua yoyote?
Ukiyatafakari hayo, huenda ukashawishika kukubali kuwa yana mashiko, vinginevyo, asingekubali kuyaweka YouTube kwa ajili ya kusikilizwa na kila mtu wakiwemo viongozi wa Serikali.