Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Find ur own happiness siku ukijifunza kujipa furaha mwenyewe na milango mingine mikubwa itafumguka, ukiona mahali furaha vituko vimezidi pianeni space and move on with life. Mimi principle yangu maishani furaha yangu na peace of mind ni muhimu kuliko chochote coz we live once, so ukiogopa kusepa kisa jamii huku unaumia wewe waweza kufa uache watoto wako yatima, pia nowdays ndoa sio quarantine Bora kujiimarisha kiuchumi, wewe ungekuwa uko vizuri usingewaza Mara mbili kunyanyuka na kuanza life
 
Poor justification ya madudu eti kavunjwa ego sijui nini, Yani mtu unatembea na baamedi kisa umeambiwa na kitambi, tena ukute kitandani alikuwa hamridjishi mkewe Sasa anahangaika na baamedi ku prove watu failures, ningekuwa mkewe tena namtaftia ma baamedi wengi ka hyo ni solution
 
I tip my head kwa hii comment!
 
Hii ni our position kama Men...
How would you feel " Mtu wako akikwambia uzuri na kuvutiwa kwa marafiki zako ama wanawake wenzako, vile anavyo koshwa nao ukiji linganisha nao hata 0.0 huwafikii, nadhani ukisema kwako ni sawa utakuwa na "psychological issues" cause mwanamke ana wivu kwa Mume wake "hii hata eve alikuwa cursed" ila sisi tupo territorial na tuna demand alot of respect katika territory zetu...
"fair comment sina mbaya nawe Cariha"
 
Natamani utufafanulie neno EGO, Wanaume tuna EGO, hapa unamaanisha nini hasa kwa lugha nyepesi tuweze kukuelewa.

Asante.

Ego ni vile ambavyo unaamini wewe ndo ulivyo sasa ikitokea mtu kakwambia tofauti inakuuma sana...
Mfano mtu aamini yeye mzuri halafu umwambie wewe ni mbovu balaa

Sasa wanaume tunakulinda sana thamani yetu tuliyojiwekea kichwani tunajiona hii ndo yetu bila hiyo sisi hatujakamilika ukitokea umeponda hiyo thamani yetu basi uwaga tunaumizwa sana...
 

Hahahahahaa nadhani umeelewaa sasa kwanini wanaume hawatakagi muyaongelee mahusiano pale yanapokuwa yamevurugika

Ni kwasababu hiyo hiyo atakachoongea utaona upuuzi na sio sababu ya msingi kufanya anayofanya wakati kichwani kwake yeye anaona ni sababu za msingi...

Umereply vzr sana ume prove nilichoandika ugomvi mkubwa kati ya mwanaume na mwanamke siku zote ukiwaweka chini utaona mwanamke anaonewa tu ndo mana wnaume kamwe hawaongeagi kwenye kusuluhisha.Utaona mwanamke anaonekana kaonewa wakati mwanaume anaendeleza tabia za ajabu...

Kama wewe ni mwanamke ni kazi kuwajua wanaume km unawa judge.its easy to judge and difficult to understand.Nimekupa hints to jinsi wanaume wanavyowaza cheki ulivyopanic..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Labda Ka kachepuka na mdogo all au Dada yako.
Lakini kama amekuheshemu na kutafuta mchepuko ambao sio ndugu yako, sioni tatizo.
Labda nikuulize, ulipokua chuo hukuwahi chepuka na mume wa mtu?
 
Kwa umri nilionao.... Nimekuja kugundua.... Ukijaribu kummiliki Mwamamume.... Utaumia sana kihisia, kimwili, kisaikolojia, kimatendo, kifikra.... Utaumia Kila Kona. Utakuwa mtu wa mawazo na kununa muda wote. Nimeacha kabisa hii TABIA.
Upo sahihi kabisa...mwanamke kujarbu kummiliki mumewe ni kujiumiza tu...hii ni sawa na sikio kutaka kumiliki/kuzidi kichwa jambo ambalo haliwezekani abadani..

Ila mwanaume kummiliki mwanamke ni jambo jepesi sana ndo Mana wakaruhusiwa wawaoe ata 4....ni sawa na kichwa kumiliki masikio,macho,pua na mdomo...
 
Kwanini usiomgee jambo ukakaa kimya I do believe umalaya ni tabia ya mtu tu na Wala haisabanishwi na mapungufu ya mtu coz it's ur body and not mine eti simply mtu kasema Jambo flani hutaki unaanza kuzoa kila mwanamke bila kujali health status Mimi naona unayefanya hvo ndio unatatizo, fanya ngono vile una hamu na sio vile hujapenda Jambo flani huo ni utopolo wa kiwango Cha standard gauge aisee let's learn to be accountable for our actions, that why I always say ukifika sehemu umemchoka mtu Bora useme kuliko ku fake in front of society ur okay kumbe Kuna vitu vina ku kill inside kimya kimya, better solve ur problem
 
yani tatizo ulilonalo wewe ndo tatizo liko kwa wanawake wengi kwenye ndoa, kwanza kutaka marafiki, jamii na ndugu zako wakuone umeolewa na perfect guy, kumbe ndani maumivu matupu, kiasi kwamba yakikufika huna wa kumwambia kwa kuogopa kuharibu image na kuona aibu mana ukiwaza unachoongeaga kuhusu huyo mume na yanayotokea hujui hata jinsi ya kuanza ku change stori, pili kupwete alimradi mume ana kipato basi hujishugulishi kiasi kwamba mwisho wa siku yakikushinda huna pakunzia unabaki kufia ndani, unawaza naenda kwa nani na watoto 3 au 4. Na mwisho ni kuvumilia visivyovumika kwa kujidanganya eti he will change, kama alifanya mara ya kwanza ukasamehe na hakubadillika dont dare to dream eti atakuja kubadilika, na hii tabia ya kusikiliza ya watu eti wanaume wote ni cheaters hivyo its ok kufumba macho na kuishi kama huoni, mwisho wa siku ukimwi huo, takwimu zinaonyesha kila mwaka watu karibia elfu 70 huambukizwa ukimwi tanzania, mnazani haya maambukiza yanakuja vipi? watu wengine wanasema eti be there forthe sake of ur children, jamani watoto wanaoishi nyumba ambayo wazazi hawana amani kila siku magomvi wanaathirika sana kisaikolojia, kama ni wakike basi ukae ukijua unamuandaa kuona kwamba ndoa ni kuvumilia mateso na yeye ataishi kuolewa na mwanaume wa tabia za ajabu na kuishi maisha kama yako, wakiume nae akikua ata mtreat mkewe vibaya mana ndo mafunzo aliyoyapata kwa baba yake.
 
Hyo position ya uanaume kwanini huwa ni Africa tu hata Jambo likitokea Mimi kichwa, to me kosa ni kosa awe wa kike au wa kiume, pia Mimi siwezi kuwa na wivu na mtoto wa mwanamke mwenzangu tuliyekutana utu uzimani nitake kumu miliki sijui wivu honestly sina huo mda kabisa na vitu anavofamya mtu mzima kwa utashi wake au starehe zake siwezi question au ni feel jealous ni yeye, Kama vile Mimi nisivopenda kuingiliwa Uhuru wangu, maamuzi yangu nami sipendi ku control mtu. So hata mpenzi afanye I'm okay as long as he is happy na anafanya kitu roho unapenda why should I feel jealous kinachotesa watu wengi ni kufikiria mtu flani atanipa furaha bila yeye my life will be meaningless, so hapo lazima uumie, and expectations from people always hurt
 
kama ni kweli unateseka na jamaa hajali na ndiye anakupa mateso tena makusudi, achana naye mpenzi. ya nini kufia kwa limtu kisa ndoa
ila kuna vitu vinavumilika. bahati mbaya hujasema ulichofanyiwa tungekwambia hicho vumilia au chomoka
 
una walakini 😂 mkuu wewe noooma, huna hata wivu
 
Hiyo image ni ipi uliyowajengea ndugu zako? Hizi perfectionism ndizo zinatuua kimyakimya siku ukisema mabaya yake hutoeleweka utaishiwa kuambiwa vumilia ndio ndoa zilivyo
 

Tatizo lako unasoma comment zangu lkn upo faster ku reply na sio kunielewa.

Nimesema kwenye kila ndoa linapotokea lakutokea mara nyingi tunasemaga wanaume ndo wenye makosa ninkwasababu makosa yetu sisi yanaonekana very clear nachosema hapa ni kwamba nyie mnakoseaga vitu ambavyo kwenu na kwa mtazamo wenu mnaonaga vdg sana na in such uwaga ni vdg ILA kwenye mtazamo wa kiume uwaga sio vdg kbs

Elewa hili kwanza ndo utaweza kuishi na mwanaume kwa amani...kosa unaloona dogo na kitu cha kijinga hiko ndo kikubwa kwetu....

Na mwanamke mwenye busara ni yule anaweza kukubali kakosea.Sijui hata kama mnajuaga km mnakosea lkn maana naona ni km wote mmeumbwa na hako kaudhaifu
Kuhusu ngono na wanaume inabidi ujue ngono ni njia kubwa mwanaume anayotumia kuondoa stress moyoni hivyo ndo atakapokimbilia akiwa na majonzi moyoni km ambavyo nyie mnakuwa busy kuzungumzia ndoa zenu na shoga zenu kama njia ya kuondoa stress basi sisi tunatumia ngono km njia ya kuondoa stress...
 
Trust is like a broken glass. Once broken it cannot be the same again. But that does not mean that forgiveness cannot play it's part. People change... If he is cooperative you can go to therapy don't give up just yet.
@Karucee nifundishe kingreza walau kidogo dadaangu, manake looh.....hii ngeli yako siyo ya TZ bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…