Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Pole sana. Ni ngumu sana kushauri kwani kuna mambo mengi hujayasema kwa sababu za msingi. Ingekua rahis kama mtu angejua shida ilianzia wapi mpo kwenye ndoa miaka mingapi, mlianzeje urafiki wenu mpaka mkafunga ndoa, na mumewe alianza kubadilika lini, na maisha yenu ya mahusiano yalikuwaje na sasa yakoje. Familia zenu zipoje yaani upande wa mume ana wazazi wazazi wake waliishije, kuna familia nyingine kuwa extramarital relationship ni kitu cha kawaida. Je bado mume wako anataka kuishi kwenye ndoa au naye anataka talaka.
......
On the other side maamuzi yapo kwako...based on kosa alilofanya mume wako.... na amefanya mara ngapi...
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Sisi kukupa experience yetu bila wewe kusema yakwako Ni ku-reviel identity yetu, so kila mtu abaki nayake tu!
 
kissgarage....pole sana dada yangu.... yes nina uzoefu,,,,ila mda ushasonga sana....started new life and am moving....
yes ni ngumu sana na ukizingatia huna kipato (huna ajira), nna hakika ungekuwa na kipato wala hapa usingeleta....mdogo wangu ndoa ni ndoa......vyeti vyote vya ndoa vina maneno - Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....hakuna cha wapi wala wapi...ni halali.....nikukumbushe tuu ndoa ni ya watu wawili....only 2 peoples......mnaweza kuamua mustakabali wenu......mmeo anatumia rungu la wewe kutokuwa na ajira...yes huna your own income......watoto tunajaribu tuu kujisemea wataumia sijui nini....so uteseke for how.......unateseka watoto watakuwa na furaha itoke wapi??..hofu yako ni waliokuzunguka....unafikiria watakuonaje...yes....utakufa kibudu dada.....inuka simama...na simamia furaha yako....kwa nini muishi mkigombana kila uchao......wewe ndie muamuzi wa maisha yako.....ukiamua kuendelea kuumia.....endelea.....maisha yako...yapo mikononi mwako.....pole sana....
 
Pole sana...mimi nakushauri uonana na viongozi wa imani yako...ili kuwajengee kiroho...na wawezee kukutoa kwenye msongo wa mawazo..ili uwezee kufanya maamuzi ambayo yatakupa amani ya roho..na kuweza kuweendelea na maisha yako vizuri
 
Hiyo image ni ipi uliyowajengea ndugu zako? Hizi perfectionism ndizo zinatuua kimyakimya siku ukisema mabaya yake hutoeleweka utaishiwa kuambiwa vumilia ndio ndoa zilivyo
Kwenye Avatar Ni Wewe Mwenyewe Ama
Naona Kama Vile Tunaweza Kuacha Hii Thread Iendelee
Tukawa Na Jambo Letu Kabla Ya October 28
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Kila mtu anatabiri tu kilichotokea hivyo na wewe tabiri halafu toa ushauri wako
Mkuu πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Natabiri Kwa Hali Mbaya Hii Ya Ndoa October 28
Yatatokea Mengi, Huyu Anapitia Haya Ana Hasira
 
Mimi swali langu ni moja

Je ikitokea mwishowe hiyo ndoa ikavunjika, utatafuta mume/bwana mwingine au utaishi kama mtawa!?

Je kama utatafuta mume/ bwana mwingine, unajihakikishia vipi hutaumizwa tena!!!!?
 
Mkuu πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Natabiri Kwa Hali Mbaya Hii Ya Ndoa October 28
Yatatokea Mengi, Huyu Anapitia Haya Ana Hasira

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
cariha, you are fit for open marriage system, I guess
 

Kuna kisa kama chako kilitokea maeneo fulani hivi,
Mwanaume alimbembeleza sana mkewe amstiri aibu yake mkewe hatimaye alikubali na kuamua kunyamaza kwa ajili ya watoto wake, sababu aliwaza akiwaambia ndugu zake haiwezi kua siri maisha yote na watoto wanakua, ingetokea tu siku libazazi limoja lingewarokopokea watoto "ndio maana baba yenu hivi",

Alichofanya alichukua likizo na kwenda mji mwingine kupumzika kwa two months akarudi kwenye familia yake, akahudhuria kwa wataalamu wa saikolojia akaja kurecover kabisa, wakakubaliana wataishi kwa kulea watoto tu hakuna kingine,

After 5 years tangu lile tukio litokee wakaachana for good,

Lakini familia zao hazikujua, ikabaki siri yao hadi hapo mke alipoamua kushare na watu wengine wasio wafahamu,

Ushauri wangu kwako, usidai talaka sasa hivi, tulia kwanza, shusha hasira, umeamua kumfichia siri basi nyamaza for tha sake of your kids,

Ukishaizoea hiyo hali na watoto wakisogea sogea umri mje kuachana for good.
 
Thanks nmekuelewa mnoo Cariha
Nadhani position yako kwenye relationship ni ile ya wenzetu nje "open relationship " ambayo kila mtu ana "Mind his own business " hakuna ya Mke au Mume ni wangu na intimacy full control, hii ni nzuri kwa wa sio penda stress za mahusiano japo kwa wa bongo tupo na pigo za kung'ang'aniana sana na zile za "you are my everthing& I love you to death! my foot"...
 
The thing is mume wangu happen communication..anakwepa each time
Sikia ndg yangu Unajua unapoandika story nusu Kuna shida wale watakaokujibu wataeleza kulingana na mtu alivoelewa au anahisi kwa maelezo yako huenda ukawa na shida hi na hii..

Sasa hapo Ni ngumu kupata suluhu muafaka la tatizo lako... Mfano mmoja amesema huenda mme wako umemfuma analiwa haja Sasa mtu Kama huyo unategemea atakushauli nn zaidi ya kukwambia MuachaneπŸ˜’

Na Ni kweli Yupo sahihi kwasababu hujanyoosha maelezo na tatizo lako halijafahamika na amejibu kwa kudhani kwamba huenda ikawa ndo tatizo lako...

Degree holder your Matured enough We funguka watu tuna matatizo adi shetani anatuonea huruma na Bado tunapeta.🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…