mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Jipe Muda,ondoka hapo kwako kakae mbali kidogo huku ukitafakari kama bado unahitaji kuishi naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchokozi ndugu 🤪🤪@Karucee nifundishe kingreza walau kidogo dadaangu, manake looh.....hii ngeli yako siyo ya TZ bana
Sisi kukupa experience yetu bila wewe kusema yakwako Ni ku-reviel identity yetu, so kila mtu abaki nayake tu!Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Huko Kumetokea NiniKimetokea Nini? Kuwa muwazi
Kwenye Avatar Ni Wewe Mwenyewe AmaHiyo image ni ipi uliyowajengea ndugu zako? Hizi perfectionism ndizo zinatuua kimyakimya siku ukisema mabaya yake hutoeleweka utaishiwa kuambiwa vumilia ndio ndoa zilivyo
Kila mtu anatabiri tu kilichotokea hivyo na wewe tabiri halafu toa ushauri wakoHuko Kumetokea Nini
Ili Tufunguke Kutoa Ushauri
Mkuu 😁😂😀😅😄😃Kila mtu anatabiri tu kilichotokea hivyo na wewe tabiri halafu toa ushauri wako
Mkuu 😁😂😀😅😄😃
Natabiri Kwa Hali Mbaya Hii Ya Ndoa October 28
Yatatokea Mengi, Huyu Anapitia Haya Ana Hasira
😂😂😂😂😂😂
cariha, you are fit for open marriage system, I guessHyo position ya uanaume kwanini huwa ni Africa tu hata Jambo likitokea Mimi kichwa, to me kosa ni kosa awe wa kike au wa kiume, pia Mimi siwezi kuwa na wivu na mtoto wa mwanamke mwenzangu tuliyekutana utu uzimani nitake kumu miliki sijui wivu honestly sina huo mda kabisa na vitu anavofamya mtu mzima kwa utashi wake au starehe zake siwezi question au ni feel jealous ni yeye, Kama vile Mimi nisivopenda kuingiliwa Uhuru wangu, maamuzi yangu nami sipendi ku control mtu. So hata mpenzi afanye I'm okay as long as he is happy na anafanya kitu roho unapenda why should I feel jealous kinachotesa watu wengi ni kufikiria mtu flani atanipa furaha bila yeye my life will be meaningless, so hapo lazima uumie, and expectations from people always hurt
............Sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him.
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya
[emoji23][emoji23][emoji23]maybe my friend sipendi Mambo ya kumilikiana mimicariha, you are fit for open marriage system, I guess
🤣🤣🤣🤣Umemfumania mumeo na mwanaume nini? Maana sijui kama kuna kubwa zaidi ya hilo
Thanks nmekuelewa mnoo CarihaHyo position ya uanaume kwanini huwa ni Africa tu hata Jambo likitokea Mimi kichwa, to me kosa ni kosa awe wa kike au wa kiume, pia Mimi siwezi kuwa na wivu na mtoto wa mwanamke mwenzangu tuliyekutana utu uzimani nitake kumu miliki sijui wivu honestly sina huo mda kabisa na vitu anavofamya mtu mzima kwa utashi wake au starehe zake siwezi question au ni feel jealous ni yeye, Kama vile Mimi nisivopenda kuingiliwa Uhuru wangu, maamuzi yangu nami sipendi ku control mtu. So hata mpenzi afanye I'm okay as long as he is happy na anafanya kitu roho unapenda why should I feel jealous kinachotesa watu wengi ni kufikiria mtu flani atanipa furaha bila yeye my life will be meaningless, so hapo lazima uumie, and expectations from people always hurt
Sikia ndg yangu Unajua unapoandika story nusu Kuna shida wale watakaokujibu wataeleza kulingana na mtu alivoelewa au anahisi kwa maelezo yako huenda ukawa na shida hi na hii..The thing is mume wangu happen communication..anakwepa each time