Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Kama unaona unaqeza pata malaika mpige chini uone utakavyokutana na shetani na huku tunakuvizia single mama tunajua mjitokaga kuumizwa no kama kumsukuma mlevi papuchi mnakuwa mayo mfuko wa shati
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] dah mkuu pole sana ilikuwaje mpk kakimbia hadi mtoto, ila kwa uelewa wangu mdog ukiona mwanamke ambae amebeba mimba miezi 9 na amejifungua mtoto amemlea alafu amemkimbia adi mtoto wake wa kumzaa mwenyewe aisee braza uyo mwanamke achana nae kabisa yani kwenye ukatili amepitiliza ila yote kwa yote pole sana mkuu
Mkuu inaniuma sana nampenda sana mama watoto wangu ,,ni mtu ambaye kiukweli bila kupepesa macho ni mtu makini sana.Ni mtu mwenye akili sana ya maisha.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] dah mkuu pole sana ilikuwaje mpk kakimbia hadi mtoto, ila kwa uelewa wangu mdog ukiona mwanamke ambae amebeba mimba miezi 9 na amejifungua mtoto amemlea alafu amemkimbia adi mtoto wake wa kumzaa mwenyewe aisee braza uyo mwanamke achana nae kabisa yani kwenye ukatili amepitiliza ila yote kwa yote pole sana mkuu
Tulikua hatuelewani katika simu mpaka akani block basi ikafika kipindi tukakutana home kwetu kwa wazazi,, nikajua ni sehemu sahihi ya kumaliza matatizo yetu.Usiku tumelala simu yake inapigwa na mwanaume mmoja nikamuuliza ni nani huyo akanijibu jeuli,,nikavumilia siku ya tatu simu ikapigwa tena nikawanayo mimi kupokea anakata,.Basi mda si mrefu wife anarudi anaulizia simu yake namuuliza kwanini huyu jamaa anakupigia simu mara kwa mara akanijibu jeuri,,kweli nilisimama nikamtandika vilivyo mpaka akalazwa basi ndugu zangu wakamuhudumia siku yatatu akawa poa tukakaa kikao tukasameheana tukawa poa tu.Tumekaa kidogo akarudi dar siku iliyofuata ndio kanitumia text kali sana hataki hata kuniona [emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu aishi kivyake iliniuna na inaniuma sana,,ila kila nikimtazama mwanangu napata nguvu sana
 
Kwa haraka haraka hapo mwanaume atakuwa Muslim,
mke mkristu,
tazizo itakuwa wivu uliyopitiliza na kutopeana UHURU,
si rahisi ila jitaidi sana kutuliza akili nausikae peke yako na ikiwezekana tafuta wanandoa unawo wajua na si waropokaji wanaweza kukufariji na kukupa mawazo mazuri,
Nb ogopa mshauri asiolewa au waliyoziacha ndoa zao!
 
Ndugu wana jf...naendelea kusoma maoni yenu..nashukuru sana wengi mmenitia moyo...na nimefarijika sana na ushauri wenu..
Naomba niseme kua simchukii kabisa muhusika, mapenzi yetu yalijengeka kwwnye msingi imara wa upendo...
Ila baada ya miaka 11 ya ndoa nimekuja fahamu siwezi kumpa furaha wala yeye hajali furaha yangu..nimekuja kufaham kua yaliyotokea ni kwa sababu kuna vitu fulani havimo tena ndani yangu...na ni nje ya uwezo wangu..hapa wanawake wenzangu mmenielewa..
Mpaka sasa nimeamua kubaki kwa ajili ya watoto tuu...ila kusema ukweli ninapata maumivu mazito
Umefanya maamuzi sahihi, jifanye mjinga utayashinda!
 
Tulikua hatuelewani katika simu mpaka akani block basi ikafika kipindi tukakutana home kwetu kwa wazazi,, nikajua ni sehemu sahihi ya kumaliza matatizo yetu.Usiku tumelala simu yake inapigwa na mwanaume mmoja nikamuuliza ni nani huyo akanijibu jeuli,,nikavumilia siku ya tatu simu ikapigwa tena nikawanayo mimi kupokea anakata,.Basi mda si mrefu wife anarudi anaulizia simu yake namuuliza kwanini huyu jamaa anakupigia simu mara kwa mara akanijibu jeuri,,kweli nilisimama nikamtandika vilivyo mpaka akalazwa basi ndugu zangu wakamuhudumia siku yatatu akawa poa tukakaa kikao tukasameheana tukawa poa tu.Tumekaa kidogo akarudi dar siku iliyofuata ndio kanitumia text kali sana hataki hata kuniona [emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu aishi kivyake iliniuna na inaniuma sana,,ila kila nikimtazama mwanangu napata nguvu sana
Dah mkuu pole kwa maswaiba mazito sana, usijali tulia jipange endelea na mishe zako kama kawaida time will tell bro mwache aende lakini najua mwisho wa siku mafuta ujitenga na maji uyo ataangaika mwisho wa siku atakuja kujuta uko aendako, nina imani uko alipokwenda yatamshinda tu atakuwa amedanganywa na muuni mmoja tu asiyejielewa kikubwa omba mungu atafanya wepesi
 
Furaha ndo kila kitu. Mimi mwenyewe ndoa imenishinda. Nimesepa na wanangu na nina furaha acha kabisa. Si kauliza tulio na uzoefu. Ndo nimempa uzoefu.Wanaume wa bongo wenyewe full michepuko,Maugomvi. Bora kuwa mwenyewe kuliko kwenye ndoa iliyojaa masikitiko.
Jamaa analea watoto?
 
Huwa napata wakati mgumu sana ninaposikia watu waliooana na kuzaa, halafu mmojawapo anaona kuachana ndiyo jawabu la matatizo yaliyojitokeza kati ya huyo mume na huyo mke. nilitegemea kuwa kama mmezaa basi fikra kubwa ingekuwa kufikiria hatma ya maisha ya hawa mliowazaa bila ridhaa yao. inanipa shida zaidi kama watu hawa wana elimu ya kutosha, wanaenda kanisani au msikitini. Na mwisho huwa nahisi yeyote anayemlalamikia mwenzake aghalabu naye ana ushetani wake ambao unamwongoza kumshambulia mpambe wa shetani wa mwenzie. Elimu, Mungu na wanjamii wakusaidie, utavuka hayo mapito.
Kuna wanawake Wana viburi ..yaani anahangaikia talaka mwenyewe Kama vile ni deal kubwa flani...sasa hapo unafanyaje?unambembeleza msiachane au?
 
Kuliko kupigana vitu vizito kichwani mkaishia kugawana majengo ya serikali mwingine mochwari,mwingine jela au wote mochwari,si ni bora mkaachana tu.Hata mimi nilikuwa na mentality ya kusimama na ndoa no matter what. Ila siku ikafika nikasema enough is enough. Sasa hivi nina furaha na wanangu,hata X mr sina kinyongo nae. Akipiga simu napokea. Yaani ni full amani ya nafsi.
Hii ni kweli asilimia 100....ilinitokea mimi...nikatafakari nikaona kwamba hao watoto watatukosa wazazi wote wawili kama tukiendelea kuishi pamoja....sasa tumeachana na naendelea kuwalea watoto wakiwa kwa mama yao..na tunawasiliana Kama kawaida na huwa anawaleta kwangu mwenyewe...na siku za sikukuu tutakuwa pamoja
 
Huo mda wa kujifunza hisia za binadamu mwingine Sina badala nijipe Raha na furaha niwe namsoma hisia yeye ni kitabu, Bora tu akafanye umalaya wake huko na sio Mimi kujihangaisha kumfuraisha mtu
feminist kwenye damu
 
Yupo hapa duniani na ananielewa vibaya, Sana, ujue kila mtu hupata mtu type yake wanaoendana na kuelewana, na mahusiano ni Kama nguo au kiatu kila mtu huvaa size yake, wewe unavoniona ujue si size yangu nami si size yako that's life ndio maana tukawa watu tofauti, warefu, wafupi, weupe why tusitofautiane?
Mimi mwenyewe najijua sio perfect, na binadamu aliyezaliwa hakosi mapungufu Sasa wewe labda mwenzangu wapenda malaika Ila ka binadamu wenzako mapungufu ni must.
mkiwa nyuma ya keyboard bana [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tulikua hatuelewani katika simu mpaka akani block basi ikafika kipindi tukakutana home kwetu kwa wazazi,, nikajua ni sehemu sahihi ya kumaliza matatizo yetu.Usiku tumelala simu yake inapigwa na mwanaume mmoja nikamuuliza ni nani huyo akanijibu jeuli,,nikavumilia siku ya tatu simu ikapigwa tena nikawanayo mimi kupokea anakata,.Basi mda si mrefu wife anarudi anaulizia simu yake namuuliza kwanini huyu jamaa anakupigia simu mara kwa mara akanijibu jeuri,,kweli nilisimama nikamtandika vilivyo mpaka akalazwa basi ndugu zangu wakamuhudumia siku yatatu akawa poa tukakaa kikao tukasameheana tukawa poa tu.Tumekaa kidogo akarudi dar siku iliyofuata ndio kanitumia text kali sana hataki hata kuniona [emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu aishi kivyake iliniuna na inaniuma sana,,ila kila nikimtazama mwanangu napata nguvu sana
Bora alivokiacha wewe ni jeuri, ukiona mtu anapigiwa simu na mchepuko ujue ushawishi umeisha sasa na wewe hukutumia busara unadunda, mkikaa pamoja si ndio kuuana kabisa
 
Nilikua katika ndoa takribani miaka mnne hivi,,tumebahatika kupata mtoto mmja wakiume.katika harakati za maisha za kuangaika huku na kule,nikamuacha mama watoto dar mi nikawa mikoani napambana na maisha huku nikiwatumia matumizi kadri niwezavyo.Juzi kati hapa tumezinguana kaniachia mtoto kasepa zake,,inaniuma Sana kwakweli
viumbe waliotokana na HAWA mwalimu wao hajulikami
wewe kumtumia hela zote hizo hazikufaa kitu, alishakutana na zaidi ya pesa akaridhishwa kimwili JIACHIE BAKI NA MTOTO utapatawa kukufaa.
Kuna jirani yangu ana Duka kubwa na Bar lakini mkewe katorokea kwa msela na tumefika POLISI Dawati la Jinsia bado mkewe kamkataa, mke anachokitaka anakijua na pesa iwepo
 
Dah mkuu pole kwa maswaiba mazito sana, usijali tulia jipange endelea na mishe zako kama kawaida time will tell bro mwache aende lakini najua mwisho wa siku mafuta ujitenga na maji uyo ataangaika mwisho wa siku atakuja kujuta uko aendako, nina imani uko alipokwenda yatamshinda tu atakuwa amedanganywa na muuni mmoja tu asiyejielewa kikubwa omba mungu atafanya wepesi
Ahsante kaka ndio maisha
 
Kuachana na cocaine/heroine, ni maumivu magumu kuliko hata kuachana na mke/mme, ila unaanza tu upya sasa hivi natumia ganja tu maisha yanakwenda
 
Back
Top Bottom