Yes!
I did find the most amazing woman here. She is also the smartest woman I know. Masters ya Economics lakini anafahamu mambo mengi ajabu.
This Kerewe girl is my best friend...yaani ni mshikaji wangu sana. Ni ile rare, deep, meaningful friendship + love. Imagine mwaka wa 4 huu lakini utadhani ndo tumefahamiana leo.
And she literally saved my life
Kwa mnaotafuta wanawake hapa for long term relationships, wekezeni kwanza kwenye urafiki. Na mengine yatakuja tu.
Thank you for everything rafiki yangu wewe. I thank God everyday for bringing you in my life. I can't imagine my life without you in it jamani!
JF idumu milele!