Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Someni post za nyuma shuhuda ziko nyingi tu,mimi mwenyewe ni mmoja wapo,ila ni kwa ile JF ya zamani kabla onja onja na kataa ndoa hawajaingia humu...
 
You are anonymous and you fall in love with your fellow anonymous member? That's kinda weird.

Mnatongozana, wote mnatumia majina "fake" na "avatar" fake. Mkikutana live hata hayo mapenzi yatakuwa fake.
Kabisa yani mahusiano mengi yanaishia hewani kudhalilishana na utapeli. YAMENIKUTA
 
Sio kweli.

Hata muandiko una upekee wake, unaweza vutiwa na muandiko wa mtu kwa kujenga taswira kwamba huyo flani atakuwaje kiuhalisia

Kuna PM watu wanatumiana picha...

Mimi nahisi wapo ila wanakausha hawataki kusemwa semwa

umemaliza shule tuyajenge katoto 😃😃😃
 
Yes!

I did find the most amazing woman here. She is also the smartest woman I know. Masters ya Economics lakini anafahamu mambo mengi ajabu.

This Kerewe girl is my best friend...yaani ni mshikaji wangu sana. Ni ile rare, deep, meaningful friendship + love. Imagine mwaka wa 4 huu lakini utadhani ndo tumefahamiana leo.

And she literally saved my life

Kwa mnaotafuta wanawake hapa for long term relationships, wekezeni kwanza kwenye urafiki. Na mengine yatakuja tu.

Thank you for everything rafiki yangu wewe. I thank God everyday for bringing you in my life. I can't imagine my life without you in it jamani!

JF idumu milele!
 
Back
Top Bottom