min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kumbe na wewe sio haba😜Umenikumbusha nilivyokua kwenye paper, ukimaliza unapeleka karatasi unatoka
Sasa waliokua wanatusimamia watatu kila binti anayepeleka karatasi akiondoka wanamwangalia nyuma halafu walimu wanakonyezana
Mimi nimekaa mbele nawaona nikawa natabasamu hadi wakaniona, nilivyopeleka paper yangu mmoja akaniambia 'watoto wa elfu 2 mtatufukuzisha kazi'
😅😅