Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
MmmhNajua alipatikana humu, nimemuita atoe ushuhuda wengine wasikie😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhNajua alipatikana humu, nimemuita atoe ushuhuda wengine wasikie😂
Mimi nilipata mkwe humu.Najua alipatikana humu, nimemuita atoe ushuhuda wengine wasikie😂
We kaa hapo ukishangaa tu🤣🤣 dunia hii hakuna kisichowezekana, japo wewe utakuwa too picky, unataka perfect man!!Ohoo hongera sana, kumbe inawezekana 👍
🤣 Am not that picky mkuu, nahitaji yeyote tu ili mradi anapumua🤣 hivi ni kweli lkn shuhuda yako ama unatupanga, Kweli ulimpata babe wako humu?We kaa hapo ukishangaa tu🤣🤣 dunia hii hakuna kisichowezekana, japo wewe utakuwa too picky, unataka perfect man!!
Nidanganye ili iweje mkuu? Miaka hiyo jf haikuwa imeoza sana, nilipata babe na baada ya mwaka na nusu nikahalalisha.🤣 Am not that picky mkuu, nahitaji yeyote tu ili mradi anapumua🤣 hivi ni kweli lkn shuhuda yako ama unatupanga, Kweli ulimpata babe wako humu?
😁Kwani kaka mkubwa jf sasa iv imeoza vip?Nidanganye ili iweje mkuu? Miaka hiyo jf haikuwa imeoza sana, nilipata babe na baada ya mwaka na nusu nikahalalisha.
Wewe ndio unatupanga hapa, una babe wako na huenda upo ndoani tayari🤣 kama huna utakuwa unachagua sana.
Mmmh dogo jf ya siku hizi nadhani mambo ni mepesi zaidi🤣🤣, kwani wewe hujapata wa kwako humu?😁Kwani kaka mkubwa jf sasa iv imeoza vip?
Bado kabisa itabidi nichakarike inaonekana mimi ni mzito😁, sema wachaga naona kama tunaepukwa😁😁😁😁😁😁😁Mmmh dogo jf ya siku hizi nadhani mambo ni mepesi zaidi🤣🤣, kwani wewe hujapata wa kwako humu?
Muda wa kutoa ushuhuda bado mkwe wangu 😍Mimi nilipata mkwe humu.
Ushawapa ushuhuda??
We huoni mali safi hiyo, bado ina makaratasi yake kutoka Japan 🤣🤣😁😁😁Ndio bro, kwanini umempendekeza huyo kaka mkubwa?
Si unaona kashaniepuka kisa ni mchaga , bora nijitafutie tu manka akaniue😁😁We huoni mali safi hiyo, bado ina makaratasi yake kutoka Japan 🤣🤣
Achana nao, watakusumbua sana...hawafai hata kidogo🤣🤣Baba! Mimi nataka mwanaume wa kipare😣
Sawa! Cz mimi nataka mwanaume asiyechepuka hata kidunchuAchana nao, watakusumbua sana...hawafai hata kidogo🤣🤣
Marangu kuna mali safi sana, nadhani uchagani yote hakuna inayofikia marangu, shida ni nyodo🤣🤣 ila jaribu ngoni, hutapimiwa🤣Si unaona kashaniepuka kisa ni mchaga , bora nijitafutie tu manka akaniue😁😁
Tena😳😳😳utampata dunia gani wa hivyo?Sawa! Cz mimi nataka mwanaume asiyechepuka hata kidunchu
Yeah marangu kuna mali safi kweli ,ila wanaringa mno kweli 😁Marangu kuna mali safi sana, nadhani uchagani yote hakuna inayofikia marangu, shida ni nyodo🤣🤣 ila jaribu ngoni, hutapimiwa🤣
Hawezi kukosekana hata 10! Ndio namtaka mmojawaoTena😳😳😳utampata dunia gani wa hivyo?