Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ukiwa unatafuta chochote ambacho ni sensitive Kwenye maisha yako fanya jf iwe option ya Mwisho kuamini kwamba unaweza patia humo
Kwenye thread hizi mbili hapa chini, inaonesha JF ni kimbilio, na ni sehemu ya kwanza iliyo sahihi,

Je hawa wadau kwenye hizi thread mbili (kwa uchache watakuelewa kweli) kuwa JF ni option ya Mwisho?
 
Kwenye thread hizi mbili hapa chini, inaonesha JF ni kimbilio, na ni sehemu ya kwanza iliyo sahihi,

Je hawa wadau kwenye hizi thread mbili (kwa uchache watakuelewa kweli) kuwa JF ni option ya Mwisho?
Ungeongea nao vizuri hao walioleta feedback hawakutumia platform Hii kama first option walihangaika sana mtaaani baada ya kuona matokeo tasa ndo wakajaribu humu
 
Kuna wasichana/wanawake wa kufaa kuwa wake.
Ni wewe tu na tabia zako humu jukwaani.
Huwezi kuchangia madudu au utoto mwingi ukamvutia mrembo anaye faa kuwa mke. Kwa mrembo huwezi kuchangia maujinga utegemee kumvutia mwanaume anayejitambua.
Huwezi kujiunga JF na kuanza kutafuta mwenza wa ndoa. Lazima uchangie mada nyingi watu wautambue uwezo wako, haiba yako, n.k.
Big point💪
 
Back
Top Bottom