Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Habari Wana Jf
Natumai mko salama
Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊
Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata

Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama ni nini tatizo?
Au utaratibu Gani utumike kusikia lengo?
Uko wapi.....
 
Back
Top Bottom