Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Unajua watu wengi wanachukulia huku kama sehemu ya wahuni lkn ukweli ni kwamba kupo vizuli na hakuna shinda nimeonana na watu wengi wa jf sio kwmba wote ni wahuni ,engine wake za,watu wapo na kazi zao,

Ukibahatika kupata mke popote pale unapata
 
Unataka pisi nikupoteza muda tafuta peace of mind na pesa uone kama hawajakaa kwenye line
 
Huwa nipo huru kusema I met my babe here...ni wachache wanaoweza ku-admit..its 11+yrs since we met, 10yrs of marriage and I can't be thankful enough.

Watu hawatoi shuhuda kwa hofu ya kujulikana ila wapo wengi sana naamini
Na MIMI na Kapeace halafu Kapeace na MIMI hakuna kuna Maisha nje ya Jeif
 
Unajua watu wengi wanachukulia huku kama sehemu ya wahuni lkn ukweli ni kwamba kupo vizuli na hakuna shinda nimeonana na watu wengi wa jf sio kwmba wote ni wahuni ,engine wake za,watu wapo na kazi zao,

Ukibahatika kupata mke popote pale unapata
Upo sahihi kabisa
 
Kwenye hili jukwaa we wala usihangaike na wanaoanzisha uzi za kutafuta wachumba, we deal na wale wachangia mada wale wadada wanaochangia mada kwa kujidai siyo wahitaji / washauri ndo hao hao wanateswa na upweke ila wanaona aibu kuleta uzi kwahiyo we komaa na mmoja
 
Back
Top Bottom