Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Tokea nape kuondolewa uhuru wa habari umeongezeka sana.
Subiri huyu aliyekuja maana safari za kila mikoa zitakuwa humu JF
 
Naigiza nini nanani ananishtukia ,sikie wewe pimbi jf hakuna wanaume wakuoa, napia jf sijaja kutafuta wanaume nimekuja kuchart wew mwenyewe una ID HII NA mshamba hachekwi nimekaa kimya maana haniusu
Kuchart [emoji777]

Kuchat [emoji3581]
 
Kuna wasichana/wanawake wa kufaa kuwa wake.
Ni wewe tu na tabia zako humu jukwaani.
Huwezi kuchangia madudu au utoto mwingi ukamvutia mrembo anaye faa kuwa mke. Kwa mrembo huwezi kuchangia maujinga utegemee kumvutia mwanaume anayejitambua.
Huwezi kujiunga JF na kuanza kutafuta mwenza wa ndoa. Lazima uchangie mada nyingi watu wautambue uwezo wako, haiba yako, n.k.
 
Et

Kabisa...ID mpya,mtu anachangia anavyowakung'uta kimasihara, duh mchezo hatari mno
 
Back
Top Bottom