Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Wapo waliopatana humu. Na wapo wanaendelea kupatana ila wamejifunza kuyaweka private sana humu Kuna wachawi wamdomoni sana😥😥
Na kuna mmoja nakumbuka baada ya kumpata mchuchu akaambiwa afunge pm,,,akawa anataka kujua namna ya kufunga pm

Watu wanqpatana sana tu mbona
 
Mimi nimeshuhudia zaid ya familia mbili zinatengenezwa kupitia humu. Nitawaita waje 🤣🤣🤣 najua kunipiga hawawezi
Wataanzia wapi kwanza mpendwa

Unajua watu wasichojua,watu humu huwa wanajitoa ufahamu lkn upande wa pili wana maisha tofauti kabisa

Mfano hawa wapuuzi kataa ndoa! Unaweza sema wote wapo serious lkn baadhi yao wana ndoa zao
 
Ni kawaida ushamba tu wa watanzania kudhani labda watu wa jf ni tofauti na wa mtaani.

Mimi nilipata mke humu humu. bahati nzuri nilipomcheki akanitumia picha nikavutiwa nae na tulipokutana nikagundua tunatoka mkoa mmja basi tulikaa miezi 9 nikatuma mshenga and rest is history.

Anajua kama nipo Jf na Id yangu anaoijua japo yeye sio mtu wa Jf sana. kwahyo unapata mke vizuri tu.
 
Walau umejitokeza chief,,,hongera
 
Back
Top Bottom