Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

☺️Iwe kweli ndugu yangu!
We subiri mualiko rasmi, kule kwenye thread yangu ya ndoa, si tarehe ya ndoa inaonekana, basi na siku ya anniversary itakuwa tareh hiyo hiyo, andaa tumbo kula, andaa ngwasuma hizo kucheza muziki. 😄 🤣 😂
 
Kuna mmoja ni mgonjwa na sasa hivi yuko kwenye kitengo..aliokota manzi humu nikamkanya..akasuma steki kimya kimya akaona anafaidi..
 
Back
Top Bottom